Picha: Wanawake sasa hizi sifa mmezidi

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,521
21,997
Habari!
Leo katika safari zangu nimekutana na mdada yupo na hii ndinga yake; imebidi nipishe kwakweli, maana sasa wanawake inaelekea mmeamua mbwai iwe mbwai!
IMG_20160709_111145.jpg
 
Yes man.......nawafahamu wakinadada/mama mob wanaendesha magari "yakibishi". Arusha kipande hii kawaida....wadada/mama wakizungu wanavunja gia kama hawana akili nzuri. Wewe unaishi wapi? Dar? Kama ndivyo huko nadhani mazingira/mazoea yanamtaka mwanamke awe legelega kuanzia kimuonekano, ideas hadi mavazi na gari analotumia. Binafsi sipendi mwanamke/jamii inaongozwa na attitude yanamna hii. Mwanamke inatakiwa aonekane strong aendeshe chochote anachopenda...ndio life inaenda ivyo in this 21st century.
 
Back
Top Bottom