Picha:Wanaume tukiwezeshwa tunaweza bhana!!

Picha:Wanaume tukiwezeshwa tunaweza bhana!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
950
Hapa kuna futari ya chapati na kongoro.
Pale ni daku ya ubwabwa na njegere,chezeya mm weye eeeh!!!!!!
 
Mkuu mbona hizi picha ni kama zimetumwa kutoka whatsapp au ni jamaa kapika akakutumia?
 
Mbona kama unamiliki jiko la michemsho
Maana hayo masufuria sio ya kinyumbani kabisa
 
Hapa kuna futari ya chapati na kongoro.
Pale ni daku ya ubwabwa na njegere,chezeya mm weye eeeh!!!!!!
Tupiamo na hiyo ya kichinachina 1405763044340.jpg
 
Nilichoelewa ni kwamba,mwanaume ukiwezeshwa kwa chakula na wewe utaweza kwenye sita kwa sita.
 
Back
Top Bottom