Akivua nguo unaanza kutafuta, "yale mambo yetu yameenda wapi?":umeliwa
Akivua nguo unaanza kutafuta, "yale mambo yetu yameenda wapi?":umeliwa
preta nakujua Mungu alikupendelea yako ya ukweli
Akivua nguo unaanza kutafuta, "yale mambo yetu yameenda wapi?":umeliwa
Hahaha sijui muda wa kutoa nguo inakuaje wanawake bwana wanachekeshaga mambo wanayoyafanya muda mwingi
![]()
nywele feki,rangi feki,kope za bandia ,ngozi mkorogo, kucha bandia na ------ ya bandia basi na wewe ni feki