Picha:wadada mmetuibia sana sasa inatosha

Picha:wadada mmetuibia sana sasa inatosha

hawa ndio wale ambao husema wana shida ya ada ukiwatumia ndio mnakutana, kabla ya gemu anaingia chooni kuoga na kuacha nguo huko huko?anakuja na kataulo yuko flati na pesa umempa,tax umemlipia,vinywaji umempa na lodge umelipia, hata ukimpiga vibao kwake fresh tu
huyo hata ukimnasa vibao awezi kupiga kelele akajua kosa lake pambavu zake na bia zangua alizokunywa atazitzpika
 
Mara unakuta mtu usoni amekolea make up unatamani mpaka umuibe shuka shingoni sasa unaweza ukajihoji huyu ni yule yule au mwingine lakini akhaaa! hana habari na mtu
kuna wadada huwa wakija mjini wanachenji siku wakifa maiti zikipelekwa kijijini wazazi wanapata shida kuamini kama huyo anayemuaga ndiye binti yake cheusi mangala
 
hawa ndio wale ambao husema wana shida ya ada ukiwatumia ndio mnakutana, kabla ya gemu anaingia chooni kuoga na kuacha nguo huko huko?anakuja na kataulo yuko flati na pesa umempa,tax umemlipia,vinywaji umempa na lodge umelipia, hata ukimpiga vibao kwake fresh tu
ahahahahahah
 
Hivi papuchi haina thamani kama pododo?
 
Na wa hivi wengi huwa wanapigwa nyuma hivyo huyanadi kwa wapendao mizigo
 
ujiandae kupigwa makofi na wanaume na bia za watu utakazokunywa in advance utarudisha

hahahaha!!!!!! ntamwambia babe usinipige ni maajabu ya mungu!!!!! gafla shepu lipo mara linapotea.
 
Back
Top Bottom