Wanaenda Kariakoo kushusha mizigo.LOCATION: Dar adjacent to Kisutu Market.
Nadhani walikosa nauli. Ila wameweka maisha yao rehani.
Hawa ndo uwaambie wavae barakoa?View attachment 1709784View attachment 1709785
Ndio maana india Vitendo vya kubashiana vimeshamiri kumbe tatizo linaanziaga humu kwenye matreniUkiangalia zile treni za India, hawa utawaona kama wamepanda kwenye Vogue!
View attachment 1709789
Nakubaliana na wewe. Inavyoonekana hao ni makuli, na hapo ni mwendo mdundo mpaka bandari.Hawajakosa nauli mzee baba hio mwamba imekamata deiwaka hilo container linaenda kupakuliwa mzigo wapukuaji ni wengi balaa so miamba huwa ina vizia few kilometers away ku secure kibarua ila kuna watu wanasema vijana
Watanzania ni wavivu
#minginetena
Sad indeed
Washusha mizigo,kama wasipowahi wanawahiwa,kwa hiyo wanakosa kibaruaSasa tuamini lipi? Washusha mizigo au vijana tu wa mtaani?
Washushaji wezetu hao tuna wajuwaSasa tuamini lipi? Washusha mizigo au vijana tu wa mtaani?
Ukiangalia zile treni za India, hawa utawaona kama wamepanda kwenye Vogue!
View attachment 1709789
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa mkuu.
Kabisa mkuu Ahimidiwe Yeye Aketiye Juu Katika Kiti Chake cha Enzi[emoji120]Maisha magumu sana[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji26][emoji26][emoji26]
Ahsante mungu hapa nilipo[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Ukiangalia zile treni za India, hawa utawaona kama wamepanda kwenye Vogue!
View attachment 1709789
Amini unachokionaSasa tuamini lipi? Washusha mizigo au vijana tu wa mtaani?
Hawajakosa nauli mzee baba hio mwamba imekamata deiwaka hilo container linaenda kupakuliwa mzigo wapukuaji ni wengi balaa so miamba huwa ina vizia few kilometers away ku secure kibarua ila kuna watu wanasema vijana
Watanzania ni wavivu
#minginetena
Corona haipo Tz. Ingekuwepo wa2 wangekuwa wanakufa kila sikuWazee vaeni barakoaaa corona ni hatari