agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Yani nimeumia sana....nikijiweka nafasi ya Dada/mama yake naona kabisa siwezi kuvivaa hivyo viatu.Duh, hataree sana dada zetu sijui wanahisi wapo peke yao tu kwenye ukoo hawafirii kuhusu wadogo zao na ndgu wengine mpaka wanaamua kuruhusu kuona anal sex mchezo wa kawaida in short Yule binti anapigwa ndgo..duh.......
