PICHA: Unadhani mwamba hapa anatoa ahadi gani?

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Ahadi nyingi zinamwaga hapaπŸ˜‚, Sio mbaya ukatupia angalau ahadi moja ambayo itasemwa hapa

"Kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu nakuchukulia yale mawigi unayoyaona instagramu"
 
πŸ˜‚πŸ˜‚

🀝
 
Nitarudi ngoja nitoke mara moja andaa ugali na bamia hela nimeacha mezani hapo hilo bamia usisahau kuweka nyanya chungu na daa chungu pilipili kwa mbali
 
Nitarudi ngoja nitoke mara moja andaa ugali na bamia hela nimeacha mezani hapo hilo bamia usisahau kuweka nyanya chungu na daa chungu pilipili kwa mbali
πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…