Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Nilijua kelele za BAVICHA ni ngoma ya watoto tu wala haitakaa ikeshe.
Wako wapi sasa? Wheelchairs zingewahusu leo.
Lumumba team mmeshawahi waza kwa nini mnataka BAVICHA wapambane na jeshi lao la ulinzi ?! Ningewaona wa maana kuwalinganisha BAVICHA na UVCCM !! Siyo askari aliyejihami na kila aina ya silaha na wananchi wa kawaida wasio na hata fimboPelekeni wale wanywa viroba wenu muone
Hahaha kiona mbali mkuuhivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
hyo miwan ya buku naijua nina duka wanakuja kununua sana haovipi umejuaje hiyo miwani haina kifaa malumu
Unaelewa ulicho andika au ndio ushabiki maandaziHiyo sio miwani, ni darubini zinazowaletea taarifa za kiintelijensia!
Inaitwaje imetoka mwaka ganiDah! iyo bunduki aliyoshika ni latest weapon, kumbe na sisi bunduki za kisasa tunazo mi nilizoea kuonaga kwenye movies. Safi sana Gov.
Fungua Fanta UnyweNadhani ni 'failed force unit'...
Hiyo ni moja wapo tu ya sababu ya kuvaa Miwani myeusi kwa walinzi na haina maana eti ukitoa hiyo faida ya kuzuwia uv light kuvaa hizo Miwani basi hakuna faida nyingine,Sababu ya kuvaa Miwani myeusi ni kujikinga na UV au mwanga wa jua ambao unaharibu macho, siyo kwa Askari wetu tu hata wewe unashauriwa kuvaa miwani myeusi kila wakati uwapo Juani!
Hiyo ni moja wapo tu ya sababu ya kuvaa Miwani myeusi kwa walinzi na haina maana eti ukitoa hiyo faida ya kuzuwia uv light kuvaa hizo Miwani basi hakuna faida nyingine,
Umewahi kuona hata ma body guard wa viongozi wakivaa hizo miwani hata kama hakuna Jua? Au wakiwa ndani ya ukumbi wa mikutano? Lengo la pili ni kama nilivyoeleza kwenye comment yangu huko juu.
Kazi wanayofanya wanaionea AIBU!!!!!!!hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
kikao kinaendelea sasa hivi naomba unionyeshe kwamba huogopi .......stupid talks things they can't doMungu ndiye wa kuogopwa. Lakini si binadamu.
coward fears death.
Tubutu.nani awape ulinziHivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Kile ni chama tawala ukizingatia serikali yote ipo pale vitu vingine havikwepeki Dada yangu, let it go on.Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Swali gani hilo? Kwani CDM wanatawala Nchi gani?Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.