Ongeauchoke
Senior Member
- Nov 4, 2010
- 149
- 22
Huku ni kukosa maono ccm imetawala miaka zaidi ya miongo mitano. Ni kichekesho leo kufungua matawi nchi za nje. Kama si kufuatisha yale yanayofanywa na Chadema, oneni aibu ibueni vitu vya kwenu.
Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!
Hilo halina tofauti na tamasha la muziki, hakuna kitu cha maana kilichofanyika hapo.
Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!
Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!
Unaanza kuwa na Matatizo kama ya NAPE NNAUYE... UMATI ndio UJUMBE UMEFIKA... CHADEMA haibebe WAJUMBE kwa kuwalaghai kwa zawadi
Wanakuja kufuata hoja za kweli... ANGALIA PICHA HAPO CHINI UNIAMBIE KAMA HOUSTON kulikuwa na watu 30 tu... BE REAL..
Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.