Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

Ukweli utakuwepo pale uongo unapojitenga hata tukatae tukubali but maguful atasumbua kanda ya ziwa ndio maana kuna himizwa muungano wa upinzani ili kujiimarisha zaidi
 
The most nice city in Tanzania. Jitahidi ufike hutajuta. Yale maji! Wale samaki sasa! Bichi zake,lol. Mandhari yake kama uko Uphilipino. Nyomi ya watu ni tisha, acha wananzengo kiduchu kwa Magufuri.

Daaaaaaahhhhh nakuja aisee. Umenitamanisha sana.
 
Umeshasema Wafuasi Wa Ccm Sasa Wewe Ulitalajia Wafuasi Wa Ccm Wampokee Slaa? Na Hao Wanaccm Wapo Myaka Yote Na Sasa Hivi Wanapungua Kwa Kasi Wengine Wanakufa Wengine Wanahama, Huku Vijana Wanaofikisha Miaka 18 Wote Wanaibukia Chadema, Je! Mwaka Huu Mtapona?

Nimeitafuta nyomi weeeee...wala sijaiona....hv nape kageukia green guard au ni macho yangu....
 
Safari hii hatutatishika na umati wa watu au uchache watu kipigo kwa CCM na Magufuli wake bado kipo palepale,jumba bovu aliloachiwa na wenzake lazima limuangukie Magufuli.
 
Magufuri ni kama Asali Iliyomo ndani ya chupa chafu..tena jalalani...hata kama ni tamu, siwez ilamba..Mwenyewe nlikuwepo kumuona..haimaanishi ati ntampa kura..Hapana.
 
Ukweli utakuwepo pale uongo unapojitenga hata tukatae tukubali but maguful atasumbua kanda ya ziwa ndio maana kuna himizwa muungano wa upinzani ili kujiimarisha zaidi

Unaongelea kanda ya ziwa ipi?
Huwajui ndugu zangu wewe, wale ni wanamageuzi wameshakata tiketi ya kuilalua CCM.
Kama huamini basi subiri oct 25.
Kanda ya ziwa ni ngome kuu ya CHADEMA wala hamna haja ya kutegemea saana kura kwa gia ya UKAWA.

CCM ngome yenu ni iliyobaki sasa hivi ni mikoa ya katikati ya Nchi sio kule pembezoni raia wanajitambua na huwa wakiamua hawarudi nyuma kamwe.
 
hapo bado bukoba, Shinyanga, Mara kwa wazee wa kupiga mapanga .sengerema n.k
 
yaani ni aibu wa mgombea wa ccm kupata watu wachache namna hii hawa watu hawafiki hata robo ya watu wa Wenje juzi kwy mkutano wake wa kutangaza kugombea nyamagana tena
 
Akuna watu hapo waliowengi ni wana Chadema walitoka kumshangaa na wana ccm ni hao tu waliovaa kijani
 
Mbona Nyomi ya kamanda WENJE inakula sahani moja na Magufuli,Naogopa siku atakapotuambia tuongelee/Kupiga mbizi BUSISI na KAMANGA,Nanyi CCM msishangae atakapojiuzia majengo yenu maana biashara majengo ya serikali ameshamaliza.Msifurahi sana kauli na matendo yake huwa siyo Rafiki kwa walalahoi wa nchi hiii.
 
Akuna watu hapo waliowengi ni wana Chadema walitoka kumshangaa na wana ccm ni hao tu waliovaa kijani

Kwa watu hawa 40 alokuwa nao makofuli natabir kwamba kwa mara ya kwanza mgombea uraisi kwa tiketi ya sisiem anashindwa vibaya! Wanavyojifariji wti tuna kura zote za kanda ya ziwa ahahahaha majibu mmeyapata!! Kazi kwenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom