Stata mzuka. Nakubaliana na wewe. Kutumika ni kubaya. Nadhani kama ingekuwa mwanaFA kaamua show yake kivyake nadhani watu wangempa support lakini kuweka show kwa namna hii ya kutumika amekosea sana.
Stata mzuka. Nakubaliana na wewe. Kutumika ni kubaya. Nadhani kama ingekuwa mwanaFA kaamua show yake kivyake nadhani watu wangempa support lakini kuweka show kwa namna hii ya kutumika amekosea sana.
Kwa izo picha mbili nlizoziona apo kwa jide inaonesha kweli show ilifunguka. Apo kwa mwana fa ni km wfunzi wapo darasani wanamskiliza lecturer ambae anaboa kabisaaaa
Una obssession wewe. Like in training pia you dont expect to sweat? Manake dada wa watu anaimba na kucheza, anamulikwa na mataa. Why not asitokwe majasho? Kwa hali ya hewa ya dsm na hilo licostume! Give her a break bwana, she made it!
Kikwapa changu always smells of berries, usije ukakilamba bure ukaniletea shida na Paw akanianzishia home gym.