Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,361
- Thread starter
- #61
Kilosa ya mjerumani hioKilosa vp maana napo palikuwa tight
Ova
Duh mzazi wangu alizaliwa hko kilosaKilosa ya mjerumani hioView attachment 1109988
Noma sana.Duh mzazi wangu alizaliwa hko kilosa
Enzi hizo kuna magiriki kuna sehemu ilikuwa Inaitwa uhindini
Hapo sasa umeni furahisha
Ova
Ukipata picha za kitambo za chunya.....Noma sana.
Mkuu wewe ni msagara?[emoji54]Duh mzazi wangu alizaliwa hko kilosa
Enzi hizo kuna magiriki kuna sehemu ilikuwa Inaitwa uhindini
Hapo sasa umeni furahisha
Ova
Mrangirangi [emoji23] [emoji23] [emoji23] lkn syo kutoka kondoaMkuu wewe ni msagara?[emoji54]
Niruhusu pm kwako mkuu[emoji4]Mrangirangi [emoji23] [emoji23] [emoji23] lkn syo kutoka kondoa
Ova
Ngoja ni share photo ya babu ynguKilosa ya mjerumani hioView attachment 1109988
Kumbe yanafundishikaZipo taarifa kuwa Wajerumani walitakakum-domesticate Zebra ili atumike sambamba kwenye majeshi yao kama farasi. Sijui kwa nn tusingehuisha hi programme. Huenda ikafanikiwa. Hapa chini ni Askari wa Kijerumani na Zebra wakeView attachment 1109996
Very true.Zipo taarifa kuwa Wajerumani walitakakum-domesticate Zebra ili atumike sambamba kwenye majeshi yao kama farasi. Sijui kwa nn tusingehuisha hi programme. Huenda ikafanikiwa. Hapa chini ni Askari wa Kijerumani na Zebra wakeView attachment 1109996