PICHA: Tanzania From 1800's to 1960's

PICHA: Tanzania From 1800's to 1960's

Mkuu tupia Handeni nasikia napo palikua konki enzi hizo
 
Sasa unachopinga kitu gani? Jamaa yuko sahihi. 1800_1960 Tanzania haiku wapo.
Baada ya kuungana Tanganyika na zanzibar mwaka 1964 ndo ikazaliwa Tanzania
Tatizo la kusoma MEMKWA, siyo kosa lako.
 
Ahsante sana Mkuu Rockefeller kama unaweza naomba picha za Machifu wa zamani wa Buhaya/ Bukoba akina Kahigi, Mutatembwa, Kibi, Bwogi nk. Kama zikipàtikana nitashukuru.
 
Panavoonekana hata kuishi ilkua ni raha, na maisha yalkua matam tena simpo

Sio vurumai ka sasa,, mwenye meno makali ndo anakula na wale toothless wanaliwa
 
Kuna watu walituaminisha Zanzibar ni nchi ya kiarabu kumbe ni waswahili kama bara tu.
Ni propaganda za kisiasa za kuwapumbaza Wazanzibari na Watanganyika waogope waone Warabu watarudi..
 
Back
Top Bottom