The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,081
- 117,691
Inaonekana zamani miji ilikua misafi sana,mazingira kwa ujumla yalitunzwa sana.
Ongeza pichaa plzzzz, uzi mtamu sana huu unajihisi kama unasafiri kinyume nyume ya muda
Inaonekana zamani miji ilikua misafi sana,mazingira kwa ujumla yalitunzwa sana.
Ha ha ha! Umenikumbusha mabasi ya TTBS; mbele hakujulikani, nyuma hakujulikani aka "mkate".
Kuna chuchu nmeziona hapo! Skuiz hazipo mkuu...ni mwendo wa matikiti maji tu!MoshiView attachment 1109101 KCMC MoshiView attachment 1109102 Coffee farmersView attachment 1109103 Princess Margret with Chief Thomas Mareale 19 October 1956View attachment 1109105 Moshi airport 1930'sView attachment 11091061935View attachment 11091091937View attachment 1109110German hunters 1909 Moshi.View attachment 11091151959View attachment 11091131912View attachment 1109116German troops in Moshi 1914View attachment 1109112German Fort Moshi 1906View attachment 1109114Moshi station 1903View attachment 1109108View attachment 1109111View attachment 1109117
We baki Na ujamaa wako Na Uhuru wa bendera maendeleo tuwaachie wengineTafuta tajiri yoyote duniani akutawale upate maendeleo unayotaka
KimaendeleoKuwa mbali, wapi huko?
Kamwe utumwa siyo maendeleo na ukoloni ni utumwa.Kimaendeleo
We baki Na ujamaa wako Na Uhuru wa bendera maendeleo tuwaachie wengine
Uwepo ili iweje??mbona sipo
Uwepo ili ugundue nini??mbona sipo
Ni mama yake na Mbuktayu Wanaina.Mkuu kuna mama hapo kavaa gauni jeupe, ni mama nani kwa majina
[emoji28]Uwepo ili ugundue nini??
Wengine wanataka ujamaa na uhuru bila ‘maendeleo’, wewe unataka utawaliwe na wakoloni ili upate maendeleo. Ni mtazamo tu. Kama unapenda sana kutawaliwa si uende utawaliwe?
[/QUOT
We lzm utakuwa mnyonge,ujamaa ni ukale
Heri ya ukoloni wenye shibe kuliko Uhuru wenye njaaKamwe utumwa siyo maendeleo na ukoloni ni utumwa.