Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,361
- Thread starter
- #21
Nimepanda hili bus mwaka 1986 mwadui
Wewe utakua mhengaNimepanda hili bus mwaka 1986 mwadui
Za kilosa kabisa sijazipata kuna za Morogoro hiziKilosa vp maana napo palikuwa tight
Ova
Kuwa mbali, wapi huko?Tusingedai Uhuru tungekuwa mbali sana kimaendeleo sawa Na Latin America, sio umasikini huu wa ccm
Hili jumba liliunguaga paa wakati wa vita, waingereza wakajenga upya sehemu ya juu kama linavyoonekana leo.German's Governor palace 1911 nadhani ndo ilikua ikulu kwa wakati huu.View attachment 1108923
MoshiUmesahau na Moshi
Tusingedai Uhuru tungekuwa mbali sana kimaendeleo sawa Na Latin America, sio umasikini huu wa ccm
Hahaha karibuNimefurahi sana Rockefeller