Na wewe unajua kwamba serikali iiltumia kiasi cha shillingi billioni 30 kujenga machinga complex..??! eenhee.., unajua hujui..??! lakini hawa wajinga wakagoma kwenda wakawa wanafanya biashara haramu chini ya lundo la kuni lililotayari kuwashwa moto na tena hata mashine za EFD walikuwa hawana.., shenz type.., yaan hata kodi hawataki kulipa.., huu ulikuwa ni mzigo kwa taifa.., stupid free loaders.., barabara zijengwe na nini na kodi hawalipi..??! sasa wataenda machinga complex na majivu yao.. stupid..! hivi unajua 30 billion tunajenga shule ngapi vijijini.., eennhe unajua..??! Usinletee mambo ya ki-mbwa hapa msengerema wewe..!!!!
Daa.., yaan pamekuwa safi kweli.., hata siamini.., angalau sasa panaweza pakajengwa kitu cha maana hapo.., maana lile lundo la kuni lilikuwa ni shiidaa kwa miaka mingi sana..,atleast sasa..daa..
yaani hyo ndio iwe sababu ya kuchoma mali zao?serikali dhaifu
Ingekuwa wewe ndio mwenye dhamana ya nchi hii ungechukua hatua gani?kuwapiga virungu na mabomu ya machozi?
Subiri hata hii Dar hatuombei majanga yatokee lakini siku yakitokea watu watakufa na mali zao kupotea tutasikitika sana lakini ndio utakuwa mwisho wa ujenzi makazi holela kwa watakaosalimika.
Una ubia na mafuriko sio..?!yaani nyinyi mmekaa kazi yenu kuropoka t wasengerema nendeni mkaangalie wat tunajenga tena mpaka mtuue ndo hatuuzi maku nyie