Picha soko la karume baada ya kuungua

tofali

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
4,010
3,409
Inasikitisha sanaa...kwa style hii mbwa mwitu wataongezeka
 
Attachments

 • 1402590766194.jpg
  1402590766194.jpg
  107 KB · Views: 2,070
 • 1402590778864.jpg
  1402590778864.jpg
  65.7 KB · Views: 1,915
 • 1402590812099.jpg
  1402590812099.jpg
  72.1 KB · Views: 1,797
 • 1402590826963.jpg
  1402590826963.jpg
  91.5 KB · Views: 1,726
 • 1402590841496.jpg
  1402590841496.jpg
  67.3 KB · Views: 1,662
 • 1402590854588.jpg
  1402590854588.jpg
  96 KB · Views: 1,585
 • 1402590869097.jpg
  1402590869097.jpg
  161.4 KB · Views: 1,624
 • 1402590886396.jpg
  1402590886396.jpg
  89.2 KB · Views: 1,586
 • 1402590939347.jpg
  1402590939347.jpg
  100.3 KB · Views: 1,650
Daa.., yaan pamekuwa safi kweli.., hata siamini.., angalau sasa panaweza pakajengwa kitu cha maana hapo.., maana lile lundo la kuni lilikuwa ni shiidaa kwa miaka mingi sana..,atleast sasa..daa..
 
Sasa ndo watakwenda machinga complex kirahisi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Poleni sana wadau, naona kama kuna jamaa analia hivi, namwelewa sana. Ni wazi mitaji yenu imeteketea mungu awasaidie ktk kipindi hiki kigumu
 
...loh wamepiga hela za dengu, sasa kampeni imehamia huku,dah uchaguzi noma sana...
 
Daa.., yaan pamekuwa safi kweli.., hata siamini.., angalau sasa panaweza pakajengwa kitu cha maana hapo.., maana lile lundo la kuni lilikuwa ni shiidaa kwa miaka mingi sana..,atleast sasa..daa..

Unaishi nchi gani ndugu yangu? Unajua kama kwa tukio hili kuna watoto watakosa ada, chakula, matibabu, nk? Unajua kama kuna watoto watahamia mitaani? Unajua kama kuna wazazi watageuka wahalifu, majambazi, wauaji? Unajua? Hujui? Hakika umejilaani kwa maneno ya kinywa chako mwenyewe!!
 
Hivi CCM kwani mngeamua kutumia njia ingine kuwaamisha wafanyabiashara hapo Karume ingekuaje...?? Kwann mmeamua kuwaamisha kwa kuwachomea bidhaa zao..?
 
Hao machinga walibweteka na siasa,wanaambiwa wahamie Machinga Complex hawataki.
Serikali ilitumia pesa nyingi kuwajengea jengo zuri ambalo hata hawastahili lakini wanaleta siasa,sasa tuone wataenda na nini na mitaji kwishney!
 
Daa.., yaan pamekuwa safi kweli.., hata siamini.., angalau sasa panaweza pakajengwa kitu cha maana hapo.., maana lile lundo la kuni lilikuwa ni shiidaa kwa miaka mingi sana..,atleast sasa..daa..
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa siku zinakuja mambo yatakuwa kinyume chake.
 
Unaishi nchi gani ndugu yangu? Unajua kama kwa tukio hili kuna watoto watakosa ada, chakula, matibabu, nk? Unajua kama kuna watoto watahamia mitaani? Unajua kama kuna wazazi watageuka wahalifu, majambazi, wauaji? Unajua? Hujui? Hakika umejilaani kwa maneno ya kinywa chako mwenyewe!!

Na wewe unajua kwamba serikali iiltumia kiasi cha shillingi billioni 30 kujenga machinga complex..??! eenhee.., unajua hujui..??! lakini hawa wajinga wakagoma kwenda wakawa wanafanya biashara haramu chini ya lundo la kuni lililotayari kuwashwa moto na tena hata mashine za EFD walikuwa hawana.., shenz type.., yaan hata kodi hawataki kulipa.., huu ulikuwa ni mzigo kwa taifa.., stupid free loaders.., barabara zijengwe na nini na kodi hawalipi..??! sasa wataenda machinga complex na majivu yao.. stupid..! hivi unajua 30 billion tunajenga shule ngapi vijijini.., eennhe unajua..??! Usinletee mambo ya ki-mbwa hapa msengerema wewe..!!!!
 
Back
Top Bottom