Picha: Siasa Zanzibar zaanza upya, Maalim Seif amewapa nini Wazanzibari?

Hakuna tarishi alieajiriwa 2015 onwards katika SMZ ambae ana chembe za CUF huwezi kuthibitisha hilo. Halafu nimesema GSO imeibuka tena 2015 baada ya uchaguzi, ilikuapo Amani Karume akaifutilia mbali na kwenye Serikali ya umoja wa kitaifa hakukua na GSO kwenye masuala ya ajira au unaweza thibitisha kama waajiriwa ilibidi waende GSO kipindi cha Amani Karume na kipindi cha umoja wa kitaifa. Tusaidie kazi hasa ya hii GSO kwenye kuajiri ni nini mbona kazi zao kwenye ajira haziwekwi wazi tukajua na kuna umuhimu gani kuulizwa kadi za chama? GSO ipo kwa ajili ya kuchuja CUF (kwa sasa ACT) na wapemba kiujumla
Mkuu Ile ni intelijisia ya serikali kila nchi iko nayo au wewe ulitaka mtu yoyte apewe ajira kwa sababu tu anaishi znz ata kama mkongo na karume ni rais ovyo kuwahi kutokea visiwani hapo only Wapemba shemeji zake ndio wanaomuabudu kwa vile alitaka kuwapa nchi kwa ushemengi si angalia akina Mansour ni mifano hai, mimi nakuambia hadi tarishi wa kipemba ameajiriwa SMZ, embu angalia kule Pemba si kuna ofisi za SMZ wale wafanyakazi unadhai ni wa bara au wanatoka Unguja ? wale ni ndugu zako.
 
CCM Wamepoteza Mda Kumpiania Lipumbavu Wakijua Mzee wa Watu Ataomba kuanzisha Chama ili Wamzungushe,Lipumbav Zanzibar hana Chake
 
Kwa iyo Sheni naye alipokuwa Rais 2010-2015 alikuwa mpuuzi kwa sababu pia hakukuwa na GSO, watu waliajiriwa wala hawakwenda GSO. Hii imezuka kwa lengo Maalum na nikuwandamiza kundi flani. Acha kutuposha hapa GSO wafanye shughuli zao za kulinda usalama wa nchi waache siasa, kuna foreigners wengi wapo na wengine wanaajiriwa wala hawachunguzwi, mnakuja kumchunguza mzawa mpaka anapokojoa. Na utambue Pemba wapo wahafidhina wachache watumia tumbo labda ndo hupewa uo utarishi otherwise Unguja kama ni mpemba na au una chembe za upinzani hakuna ajira.
 
Alimgomea teuzi kuuza utu wake kwa vipande ndo ugomvi ulipoanzia hapo kupelekea kuchomewa nyumba yake,SHAMBA la korosho na mzizima 2.
Nifafanulie tafadhali nani alichomewa? Tumefika huko tena?
 
Ni baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF kujiunga na ACT Wazalendo Zanzibar imekuwa kama siasa ndio sinaanza sasa ni shamra shamra wananchi wanaonekana na T-shirt za ACT Wazalendo kila mahali na matawi yote kupepea bendera za ACT Wazalendo mapokez ni babkubwa.

View attachment 1050315

View attachment 1050316

View attachment 1050317

View attachment 1050318

View attachment 1050513

View attachment 1050515
Profesa alipata haki yake kwa vigezo vya sheria. Awatawale kwa sheria. Ila hawakutaka kutawaliwa kwa vigezo hivyo vya sheria, bali kwa haki ya uaminifu. Msaliti siku zote hana chake. Hutupwa nje. Yeye hakutaka kutupwa nje. Akang'ang'ania kwa vipengele vya sheria ambavyo havikufuatwa. Hakujua kuwa mioyo ya watu wake ilishamkataa. Hili ni fundisho kwa wote wanaopewa dhamana ya kuongoza watu.
 
Hizi ndizo habari za kuwatia moyo upinzani, kazi yenu kujifariji tu humu kwenye hili jukwaa. Mmefanya research mkagundua ni kweli Wanzanzibari wote wanamuunga mkono huyo Maalim Seif. Mimi nilikuwa naipenda sana Chadema na upinzani wakweli kwa ujumla, lakini kukosa kwenu hoja na kudandia dandia kila ajenda kumenifanya nisiwaamini tena. Magufuli anafanya kazi na watanzania wote tunashuhudia, na hapa ndipo anapowazidi kete bwana huyu.

Jambo linguine ninalo liona kwenu ni kwamba hesabu zenu za chekechea kweli. Kama kweli Lipumba alikuwa anatumiwa na CCM hamuoni kwamba nyinyi ndio loser kwenye huu mpambano. maana kama kweli CCM walikua wanawafanyia figisu (kama mnavyodai) hamuoni kuwa wamesha'achive their goal? CUF kuna mvunjiko badala ya kukaa kutafakari mnachukua hatua gani mmekaa mnashangilia ushindi sio wenu. Poleni sana.
 
CCM Wamepoteza Mda Kumpiania Lipumbavu Wakijua Mzee wa Watu Ataomba kuanzisha Chama ili Wamzungushe,Lipumbav Zanzibar hana Chake
Unaweza kutupa ushahidi wa hili unalo ongea?? Wakati ACT inaanzishwa mlituambia Zitto anatumiwa na CCM, pia ACT ni CCM B,sahivi Maalim Kakimbilia CCM B mnashingilia kwamba CCM wamekomeshwa. Hivi hamuona kwamba mnawachanganya wafuasi wenu? Namna hii msahau kuchukua nchi ya watu wenye akili timamu.
 
Kwa iyo Sheni naye alipokuwa Rais 2010-2015 alikuwa mpuuzi kwa sababu pia hakukuwa na GSO, watu waliajiriwa wala hawakwenda GSO. Hii imezuka kwa lengo Maalum na nikuwandamiza kundi flani. Acha kutuposha hapa GSO wafanye shughuli zao za kulinda usalama wa nchi waache siasa, kuna foreigners wengi wapo na wengine wanaajiriwa wala hawachunguzwi, mnakuja kumchunguza mzawa mpaka anapokojoa. Na utambue Pemba wapo wahafidhina wachache watumia tumbo labda ndo hupewa uo utarishi otherwise Unguja kama ni mpemba na au una chembe za upinzani hakuna ajira.
Now you contradict your self mujomba nadhani tuishie hapo maana ! .. nisije nikawa nafanya argument na yule jamaa anaejiita Mpemba mbishi .. c ya:)
 
Naona hatari mbeleni maana msimamo wa seif ni kuvunja muungano pia kigoma wanaona kama vile wametengwa na serekali ........

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kwahiyo Kigoma wataungana na Zanzibar kisha watajitenga au itakuwaje fafanua mkuu
 
Dr Shein ni Rais wa Zanzibar mwenye asili ya Pemba anawezaje kuacha kuajiri ndugu zake kwa kisingizio cha usiasa.
Hilo Ndilo linawaacha watu kinywa wazi,binafsi nina wasiwasi na UPEMBA wa Dr Shein!!

Ni ukweli uliowazi kuwa huwezi kuajiriwa na SMZ kama huna kadi ya CCM,hivi sasa ukiwa na Ngozi ya maji ya kunde,Ukiwa umechanga damu na Wazanzibari wenywe asili ya ASIA(Wahindi na Warabu nk),unabaguliwa na SMZ..

Hii ni AIBU na FEDHEHA kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar..
 
Hizi ndizo habari za kuwatia moyo upinzani, kazi yenu kujifariji tu humu kwenye hili jukwaa. Mmefanya research mkagundua ni kweli Wanzanzibari wote wanamuunga mkono huyo Maalim Seif. Mimi nilikuwa naipenda sana Chadema na upinzani wakweli kwa ujumla, lakini kukosa kwenu hoja na kudandia dandia kila ajenda kumenifanya nisiwaamini tena. Magufuli anafanya kazi na watanzania wote tunashuhudia, na hapa ndipo anapowazidi kete bwana huyu.

Jambo linguine ninalo liona kwenu ni kwamba hesabu zenu za chekechea kweli. Kama kweli Lipumba alikuwa anatumiwa na CCM hamuoni kwamba nyinyi ndio loser kwenye huu mpambano. maana kama kweli CCM walikua wanawafanyia figisu (kama mnavyodai) hamuoni kuwa wamesha'achive their goal? CUF kuna mvunjiko badala ya kukaa kutafakari mnachukua hatua gani mmekaa mnashangilia ushindi sio wenu. Poleni sana.
Lengo ilikuwa huu mpasuko uendelee hadi 2020 maalim akose uhalali wa kugombea urais ila hawakufanikiwa. Maalim kaona bora atafute jukwaa jengine lakuendeleza mapambano ya kudai Zanzibar yenye mamlaka kamili jambo ambalo CCM ndo hawalitaki. Kama unaona Lipumba na CCM wameshinda si ilikuwa wakajipongeze tu kwa bia mbona WANATESEKA Maalim kutimkia ACT.
 
Sasa kama wamebomoa CUF unadhani ACT kuna ugumu gani?? Chama chenyewe ndo kwanza kinanyonya (kichanga). Tatizo nyie upinzani wa nchi ni mabingwa wa kupiga ramli na mkishapiga hizo ramli zenu mnataka dunia nzima iamini.Unatuhakikishiaje kwamba huko alikohamia yuko salama na atafanikiwa??Kama unaamini CCM ni mabingwa wa figisu sioni haja ya wewe kuja kushangilia hapa maana kama CCM wanafanya hii michezo kama unavyoamini, ACT ndo wataibomoa sekunde tano tu. Siasa zimewashinda vijana, ushauri wangu ungeni mkono juhudi za mheshimiwa maana mmepoteza si tu DIRA lakini pia MVUTO
 
Back
Top Bottom