Picha: Siasa Zanzibar zaanza upya, Maalim Seif amewapa nini Wazanzibari?

Mimi niko na ndugu zangu CUF wako serikalini SMZ na hawana ujamaa na CCM unataka kuniambia nini ... tatizo lenu watu wa disign yako umelelewa na kukuza katika mazingira ya uzushi.
Wacha kujipakazia
 
Ha ha ha ha! Zitto na Seif hii combination ni balaaaaa!
Nami nasema kama ilivyokuwa DRC iwe hata kwetu Tanzania - hata kama CDM watashinda kwa kura zote chonde chonde msiwakabidhi nchi - bora mmpe ZZK
Ni kama combination ya OKWI-BOBAN-SUNZU!!!
 
Leo profeseri lazika pichu ishamlegea na safari hiii atashika sana mauno !malabuku
 
Back
Top Bottom