Picha: Siasa Zanzibar zaanza upya, Maalim Seif amewapa nini Wazanzibari?

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,276
Ni baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF kujiunga na ACT Wazalendo Zanzibar imekuwa kama siasa ndio sinaanza sasa ni shamra shamra wananchi wanaonekana na T-shirt za ACT Wazalendo kila mahali na matawi yote kupepea bendera za ACT Wazalendo mapokez ni babkubwa.

4e1472fa-5f08-46ff-8722-fef8dc5abf50.jpg

5f3f0763-7d2b-41ac-8745-ea1d2730a4af.jpg

f8ddd168-63aa-4b06-945d-c64a0abc2ac7.jpg

c17fbd19-a85f-41fe-ba3b-805354dd216c.jpg

znz.jpg

zitt-maalim.jpg
 
Ni baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF kujiunga na ACT Wazalendo Zanzibar imekuwa kama siasa ndio sinaanza sasa ni shamra shamra wananchi wanaonekana na T-shirt za ACT Wazalendo kila mahali na matawi yote kupepea bendera za ACT Wazalendo mapokez ni babkubwa.

View attachment 1050315

View attachment 1050316

View attachment 1050317

View attachment 1050318

Daah, Wazanzibari wanaipenda sana CCM, alafu inafuata ACT Wazalendo kwa sasa.. Zamani ilikuwa CCM alafu CUF, ila mambo yamegeuka..👳😂
 
Tahadhari kwa vyombo vya dola, ACT - Wazalendo hii siyo sawa na CHADEMA - JamiiForums
 
Daah, Wazanzibari wanaipenda sana CCM, alafu inafuata ACT Wazalendo kwa sasa.. Zamani ilikuwa CCM alafu CUF, ila mambo yamegeuka..👳😂
Zanzibar hawapendi ccm hata wale wachache wanaoipendaa wnlazimishwa....kule hupati ajira serikliji kama sio mwanaccm, ukihisiwa tu hat kama hakuna uhkikaa kuwa wewe ji mwan Cuf basi huajiriki ktk ajira za umma.
 
Ni baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF kujiunga na ACT Wazalendo Zanzibar imekuwa kama siasa ndio sinaanza sasa ni shamra shamra wananchi wanaonekana na T-shirt za ACT Wazalendo kila mahali na matawi yote kupepea bendera za ACT Wazalendo mapokez ni babkubwa.

View attachment 1050315

View attachment 1050316

View attachment 1050317

View attachment 1050318
CDF Mabeyo wapeni WAZANZIBAR Hitaji lao.

Kama watu hawakupendi, hupendwi tu. CCM hamtakiwi wapeni ZNZ haki yao WAFURAHI.
 
Ngoma bado mapema sana wapenzi wa maalim seif ni hawa wenye asili hii kama Jusa Ladu Bimani na wengine wenye asili kama hao wapi Zito kama hatageuzwa kama akina mapalala huko mbee ya safari...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom