Picha: serious sad, Kimaadili baba anaruhusiwa kumbusu mtoto wake wa kike namna hii?

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,981
14,752
Hii dunia ipo kasi sana, kama siyo hii dunia ipo kasi, basi mimi nitakuwa nipo slow sana kuendana na kasi ya dunia...

Hii picha imenihuzunisha sana, sasa najiuliza haiwezekana huyu ndama akawekwa safe house kwa mda usio julikana??

Yaani mijamaa kama hii mm huwa naitolea hukumu juu kwa juu, ukiichelewesha mda siyo mrefu mtoto ataharibika, na watu kuanza kumtafuta mchawi....

69755057_349583209262434_2326549476044439552_n.jpg
 
Huyo jamaa anatoka chama cha mabaharia
Tamko kutoka chama cha mabaharia,mabaharia wote kwa pamoja tunapinga na kulaani vikali tukio hili,
pumbavu zake huyo jamaa,,hafai kuwa mzazi,,serikali ikishirikiana na veta ianzishe kozi ya how to be a parent especial kwa hawa Millennia ...

hii ni Child sexual abuse huyo jamaa achukuliwa hatua,sirikali ipo wapi?
na viongozi wanaangalia kama huyo member ni mmojawapo wa mabaharia ili akibainikia afutiwe uanachama,,
wako msemaji wa mabahari Tanzania
 
baba hawezi ku-act hvy aise, huyo atakuwa ni baba mkubwa mzaa bibi shangazi ake na mama mkubwa.
 
Kama hii picha ni ya 2019, basi 4 years more jamaa ataanza kumtafuna mtoto.
 
Hii dunia ipo kasi sana, kama siyo hii dunia ipo kasi, basi mimi nitakuwa nipo slow sana kuendana na kasi ya dunia...

Hii picha imenihuzunisha sana, sasa najiuliza haiwezekana huyu ndama akawekwa safe house kwa mda usio julikana??

Yaani mijamaa kama hii mm huwa naitolea hukumu juu kwa juu, ukiichelewesha mda siyo mrefu mtoto ataharibika, na watu kuanza kumtafuta mchawi....

69755057_349583209262434_2326549476044439552_n.jpg
kalala na kaghothi.jpg
 
Back
Top Bottom