Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

MH...mzee huyu nuksi kweli kweli.....MUNGU hamfichi mnafiki hata siku MOJA.
 
yaani kama 6 anapita humu atapata picha ni jinsi gani watu wanavyomchukulia baada ya kulazimisha ile katiba ya chenge
 
kaambulia mguu mmoja kukanyaga red kapeti, tena kiti chake ni cha plastiki ila wamekiwekea kitambaa kama wanavyopambaga kwenye shughuli za harusi na kitchen part.

nafikiri alikuwa hapaswi kuwa pale Ki-protocal ya picha, ila aliomba tu si mnamjua huyu dingi alivyo.
 
[QUkifikazi;11380679]


Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike[/QUOTE]
Ukifika la saba utaelewa tofauti ya waliokulia kwake na yeye
 
Ashukuru Mungu wamemruhusu hat a mguu was kushoto kuingia red,c
 
Ukifika la saba utaelewa tofauti ya waliokulia kwake na yeye[/QUOTE]

mkuu huko kulia kwake mbona ndio kubaya zaidi maana hamna mtu
 
Huyo kulia ni bibiake nini kimtoko??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…