Yah,Mbeya nchi Rais Sugu!
_kuna wale wa kike nao wapo njema sana!
~~hiyo lazima mizoga ya sisiem waige
Safi sana!
...ashukumu si matusi, Mara ngapi kwa mkeo naona hasira zako Kali kweli itakuwa kajichapia vya kutosha. usijibu kwa jazba kuchapiwa ni siri yako...sugu tabia yake ya kutembea na wake za watu Mbeya imesababisha aweke ulinzi mkali. wana mbeya wana hasira nae sana
....Gamba huyo anatapatapa Mkuu !!!...ashukumu si matusi, Mara ngapi kwa mkeo naona hasira zako Kali kweli itakuwa kajichapia vya kutosha. usijibu kwa jazba kuchapiwa ni siri yako...
sugu tabia yake ya kutembea na wake za watu Mbeya imesababisha aweke ulinzi mkali. wana mbeya wana hasira nae sana
Mkeo kapona kweli?
...Rais wa Mbeya
Rais wa panya road..... duu ila hii kali sana.
Aisee sio mchezo
wape jina hawa jamaa....
Inavutia sana