PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

ot18[1].jpg

Hapo Mh Jk kapokelewa na mwenyeji wake anaelekea ktk Jumba
 
Kaenda kutembeza bakuli jamani mpeni muda. wakikuuliza tena kwa nini inchi yako ni masikini, wambie hujui kama kawaida yako. hilo nalo ni moja wapo ya maajabu saba ya Dunia.
 
akishuka kwenye punda anawauliza wanataka migodi mingapi ?? Mzungu hawezi kukupa mapokezi kama haya burebure ile ni mbinu mojawapo ya kuwalainisha viongozi wenye kutoka nchi zenye njaa kama Tanzania
 
"Wanasema ninasafiri safiri sana. Kah! sasa wanataka nikae nao tu, tule nao mihogo?" JK ....Mwisho wa kumnukuu
Umenichekesha sana, nakumbuka magufuli alivyompongeza JK kuwa safari zake zinaleta matunda
 
Hee Canadiani hawamjui ****** huyu kesho watashtukia huyo anarudi kuwaomba moto. Yaani hatamaliza wiki mbili kabla hajarudi huko kuzika panya wa ikulu kama watampoteza mmoja in two weeks. Waombe Mungu wasifiwe wiki hii au mananasi yao yasivunwe kwani hapa tunasingizia chochote ilimradi tuje tena kula hao kuku wa mrija. DaGamma hadi anatia aibu kwa mizunguko.
 
Binafsi yangu naona ni bora kwa viongozi wa kiafrika kuepuka ziara zisizo za lazima kwani hawa wazungu wanatudharau sana na ndio maana hata Kikiwete anapokelewa na waziri wa mambo ya nje.

Ni imani yangu hata hao askari wa kizungu kwenye nafsi zao wamejaa dharau tu kwani wanajua tunategemea misaada kutoka kwao na hivyo hata raisi wanampuuza kimoyo moyo.

Bila shaka kuna viongozi wachache wa kiafrika wanajua kasumba hii ya wazungu na ndio maana hawapendi sana kufanya ziara za kiserikali ulaya mara kwa mara.

Hivi unadhani ukiwa omba omba unaheshimika kweli!Nafsi zao zimejaa dharau kwasababu wanajua hata hizo safari za raisi zinategemea bajeti ya wafadhili.
 
Arudishe kwanza pesa za treasury walizofonzya kuhudumu mkutano wa CCM -NEC wafanyakazi hawana mishahara huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom