Hivi mama Pinda nani style adviser wake?
Hadi mke wake.Mrithi was Mali za jk or what?
nani kakudanganya mrithi ......................................................................... mi simjui ila sio LOWASAaliye nyuma ya jk ndiye mrithi wake??????
Hivi mama Pinda nani style adviser wake?
kashindwa kuvaa kama mwanamke wa kiafrika?
Tazama Mama Ngozi alivyovaaa
Tunu amejiachia sana