PICHA: Rais Kikwete, akipiga picha ya pamoja na wasaidizi wake na viongozi walio Muhimu Nchini...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797





Rais Kikwete, akipiga picha ya pamoja na wasaidizi wake na baadhi ya viongozi baada ya chakula cha mchana.





Wake wa viongozi nao wakipata picha ya pamoja ya kumbukumbu.


vIJIMAMBO
 
Hivi mama Pinda nani style adviser wake?

kashindwa kuvaa kama mwanamke wa kiafrika?

pie.jpg



Tazama Mama Ngozi alivyovaaa
 
Siku hizi ukifunga vifungo vya suti,suti hujikunja eti eeeeeh...!
 
Naona Pinda hajafunga vifungo vya koti la suti yake.... ameharibu pozi LA picha:)
 
Back
Top Bottom