Picha: Rais Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati akiendesha gari jijini Nairobi

Picha ya Hayati Baba wa Taifa Mwl.Nyerere akiendesha Baiskeli
bdvgl7.jpg
 
Na nyinyi mmeamini kweli huyo mwanamke ni mpitanjia. Kenyata anafanya media circus sababu ya uchaguzi, mengine ni sanaa tu
Uchaguzi upi? Uchaguzi ulikuwa mwaka wa 2017 na sasa hivi rais Uhuru yupo kwenye muhula wake wa mwisho.
 
Uhuru ni mshikaji sana Yaaani jamaa hv mtu wa ganja flani
Eti ganja. Hivi majuzi muigizaji Pascal Tokodi, wakiwa wametoka kwenye video shoot ya drama yao 'Selina', walimpata rais Uhuru akiwa kwenye 'stroll' jioni. Akitembea barabarani pekee yake bila wasi wasi. Labda ndio alikuwa kwenye shughuli yenyewe ya kupuliza 'kimoja'.
 
Back
Top Bottom