Picha: Rais Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati akiendesha gari jijini Nairobi

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati alipokuwa akiendesha gari mapema leo katika viunga vya jiji la Nairobi.

Rais Kenyatta amekuwa akijipambanua kuwa yeye ni Kiongozi asiyehofu kuishi kama mwananchi wa kawaida wa Kenya.

Chanzo: Swahilitimes
IMG_20190224_221928.jpeg
 
Uhuru ni mshikaji sana Yaaani jamaa hv mtu wa ganja flani
Anakula stiki, akikukuta anagongea kiroho safi. We muangalie mpaka mdomo umeweka weusi wa moshi.

Halafu mwanaume yoyote asietumia starehe (Pombe, Fegi, Ganja, Wanawake) basi hua anakuaga mbea mbea hivi, mnafiki mnafiki hivi. Jamaa jembe

Ningetamani Rais Wa Tanzania pamoja na Mkuu Wa Mkoa Wa Dar waishi na raia hivo mtaani, wawe wanaendesha magari yao wenyewe peke yao mitaani. Au labda wanahofia bendera kuwekwa nusu mlingoti??? Hofu yao tu, wabongo wapole na wapenda amani, sijui wanaogopa kwa nini escort mpaka za chopa mbili na convoy za magari kibao. Yanini yote hayo.
 
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati alipokuwa akiendesha gari mapema leo katika viunga vya jiji la Nairobi.

Rais Kenyatta amekuwa akijipambanua kuwa yeye ni Kiongozi asiyehofu kuishi kama mwananchi wa kawaida wa Kenya.

Chanzo: SwahilitimesView attachment 1031280
Ni mbumbumbu wa hali ya juu ambaye anaweza kufikiri Rais Kenyatta anaweza kuendesha gari bila kuwa na walinzi karibu. Kenya ina maadui wengi wa Alshababu kuliko TZ.
 
Weee! usi tudanganye Mungiki hawako mbali hapo! hatumiagi askari wa kawaida yule! hata huyo ombaomba ni Mungiki
 
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati alipokuwa akiendesha gari mapema leo katika viunga vya jiji la Nairobi.

Rais Kenyatta amekuwa akijipambanua kuwa yeye ni Kiongozi asiyehofu kuishi kama mwananchi wa kawaida wa Kenya.

Chanzo: SwahilitimesView attachment 1031280
Sasa hapo nengeneka et rais hana ulinzi afu utaona kitakachokupata
 
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati alipokuwa akiendesha gari mapema leo katika viunga vya jiji la Nairobi.

Rais Kenyatta amekuwa akijipambanua kuwa yeye ni Kiongozi asiyehofu kuishi kama mwananchi wa kawaida wa Kenya.

Chanzo: SwahilitimesView attachment 1031280
Mwingine mwoga kweli, kaona majeshi hayamtoshi kakodi na wachawi 900 kutoka Gamboshi
 
Na nyinyi mmeamini kweli huyo mwanamke ni mpitanjia. Kenyata anafanya media circus sababu ya uchaguzi, mengine ni sanaa tu
 
Back
Top Bottom