Picha: Ommy Dimpoz na maboss zake

Attachments

  • Screenshot_20210315-012250.png
    Screenshot_20210315-012250.png
    238.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20210315-012335.png
    Screenshot_20210315-012335.png
    49.5 KB · Views: 11
Ni kikao cha kibiashara juzi walikua hotel verde, ilikua ziara ya joho alikutana pia na Rais Mwinyi ndio wakaongea na wafanyabiashara.
Afadhali umewaambia ukweli,Watanzania tumekalia kuwaza ujinga tu na ubaguzi,watu wana mambo yao sisi tunauliza maswali kwa mtizamo wa kijinga,kazi ya waswahili ni kuombeana mabaya na kuwaza ujinga.
 
Back
Top Bottom