Picha nyingine zinajieleza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha nyingine zinajieleza

Discussion in 'Jamii Photos' started by rosemarie, Apr 4, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  NIKIFANYA KAZI NA MTU KAMA HUYU WA KULIA NITAKUWA SIMRUHUSU AiNGIE OFISINI KWANGU KAMA SIPO!!!!!!​
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade ulifikiri kweli kabla ya kupost hii thread yako?
   
 3. s

  sverige JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hakuna swala la udini wala nini hapo .....mimi nazani niwakati wa mh zitto kurudisha mguu mmoja alioutoa nje maana makamanda wanampenda ila yeye magamba wamemfadhili hapa na pale ndo maana wadau wanakuwa na mashaka naye. Hata ukisikiliza kauli zake siku hizi ni tata tata....
  Chonde chonde ndugu yangu zitto kwetu shinyanga na kigoma si mbali sasa nakushauri jirani yangu na rafiki yangu rudi kundini kikamilifu ili uondoe shaka ya watu ....mbona wewe bado kijana sanaa kwa nini kukimbilia madaraka.....??!!
   
 5. mpenda

  mpenda JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ndugu, mbona mtu wa kulia wa nasari ni mbowe.. udini uko wapi?...
   
 6. k

  kaiyulankuba Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usipoweza kukemea maovu ujue na ww una asili kubwa ya uovu ndani mwako wala hujitambui.kinachotuponza watzd ni kutaka umaarf usio na uzalendo.BWANA ZITO ANAANZA KUZIIRISHA ALIVYO MBINAFSI NA MWENYE UCHU WA MADARAKA NA ANATAKA VYEO NA SIFA ZA HARAKA HARAKA.Hapa hakuna anayemchkia eti kisa uislam mbona alikubalka toka zaman na ndan ya cdm mbona hakuna aliyezungumzia udini leo anakosea eti udini.jaman hachen fikila mgando.huyu mtu anadalili mbaya za kuturudsha utumwan.
   
 7. m

  makaka Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa hapo kafanya nn??
   
 8. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nduguyangu tatizo la Zito si ndege si mnyama mafisadi wa magamba wanamtumia , wewe unaona ni sawa alivyotangaza kugombea uraisi wakati anajua chama kipo kwenye kampeni Arumeru?
   
 9. Mukhabarat

  Mukhabarat Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tupe sababu za msingi kwa nini hutomruhusu aingie ofisini kwako
   
 10. C

  Claxane Senior Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Topthinker a.k.a shoga. Wapakatwa
   
 11. w

  wa home JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  udini na ukabila unaujua wewe inamaana wote ndani ya chadema ni dini moja au wote ni kabila moja? Au unamaanisha nini? We gamba tu hacha majungu. M *b/wa weee
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Chuki binafsi
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Post haina shida ila maelezo yake ndo pumba
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  naona wengi mmeingia chaka kwenye hii thread, akiwemomuasisi
   
 15. d

  dylema1992 New Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakua nyie chadema mna agenda ya udini nyuma ya pazia,bac muweke na alama ya msalaba kwenye bendera yenu ili muwe open zaidi.
   
 16. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  udini upo wala msibishe na mkae mkijua hilo ndio litakuwa tatizo lenu kubwa uko mbele ya safari

  si mnawakumhuka cuf walivyoonza na mambo yao ya kidini sasa kwishney nanyi msipoangalia

  itakula kwenu-kwenye ukweli jaribuni kuwa wapole msiwe kama mpunga una rangi gani
   
 17. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  cdhan kama ameshawah kubaguliwa kwa udini, labda kwa kauli.
   
 18. mchillo

  mchillo JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  Na wewe unajiita great thinker? Ina maana wanachama na viongozi wooote wa CHADEMA ni wa dini na kabila moja?
  Kwa hakika mawazo yako hayalingani na u-great thinker bali u - low thinker. Propaganda nyingine zinamfanya mtu aonekane kama mgonjwa wa akili aliyeruhusiwa toka wodini leo leo. Zitto ana mengi tu mazuri kwa CHADEMA na nchi ya Tanzania, lakini kama binadamu yeyote hakusi mapungufu yanayohitaji kurekebishwa na jamii ambayo ni mchanganyiko wa watu wenye hulka mbalimbali, sasa iweje jamii ikifanya hivyo ilaumiwe kwa udini, ukabila na hata ukanda? Tena kukosolewa kwenyewe kumefanywa na wanachama wa kawaida kwenye vijiwe na forums kama hizi, binafsi sijawasikia viongozi wenzake wakimkosoa hadharani, sasa udini, ukabila uko wapi hapo?

   
 19. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  MMeshindwa Arumeru unakuja kuwewesekea humu! umejiunga JUZI ukamuomba mkeo akugongee LIKE ( KUDADADEKI !!! sera za chama)
   
 20. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Zitto msimlaumu dhiki ndizo zilimfanya akengeuke, lakini siku hizi kuna vijana wengi wanaowika sana kiasi kwamba yeye anaonekana kuwa bize na mafisadi wa CCM wakati kina mnyika wanapaaa juu na juu zaidi
   
Loading...