Mbona hawafanani? au ni kwa sababu ya huo mustachi!!!
Suruali ya mchelemchele enzi hizo ndio zilikuwa za matawi ya juu,huyu Joseph ndie aliyetoa kiwanja chake ijengwe hostel pale MwananyamalaNimependa suruale ya huyo jamaa wa katikati. Alaf tusaidie majina ya hawa jamaa bas. Manake nakukubali mkuu..
Suruali ya mchelemchele enzi hizo ndio zilikuwa za matawi ya juu,huyu Joseph ndie aliyetoa kiwanja chake ijengwe hostel pale Mwananyamala
Suruali ya mchelemchele enzi hizo ndio zilikuwa za matawi ya juu,huyu Joseph ndie aliyetoa kiwanja chake ijengwe hostel pale Mwananyamala