NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume kuongoza, msingi wa ndoa huanza kudhoofika. Ndoa si klabu ya mashindano.
View attachment 3292780
Kumbe ulimpanda kabisa huyo Dada? Wapi na lini Mkuu?Nimempanda huyu bibiye.
Inategemea na company na malezi aliyotokea. Kama alilelewa akaona mama ndio anaelekea huko. Huko ndipo ataelekea.Unfortunately, mwanamke akishakamata pesa hayo yote unayoongea kwake haya make sense. Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
Anaitwa bettyNimempanda huyu bibiye.
Yaani nimejawa na tamaa isiyo kifani.Kumbe ulimpanda kabisa huyo Dada? Wapi na lini Mkuu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nimempenda bureAnaitwa betty
Si mnasemaga Kenya Hakuna wanawake wazuri sasa imekuwaje ukampenda huyu😂Nimempanda huyu bibiye.
Lakini mimi sikusema hivyo.Si mnasemaga Kenya Hakuna wanawake wazuri sasa imekuwaje ukampenda huyu😂
betty kyalo,mtoto wa kishua namkubali sana huy dadaNYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume kuongoza, msingi wa ndoa huanza kudhoofika. Ndoa si klabu ya mashindano.
View attachment 3292780
mfate insta kule utapata no zakeSijui kwanini hajaweka namba zake tumtumie salaam za pongezi
Mateso huwa mara nyingi wanayatafuta wanawake. Wakiyapata wanatugeukia wanaume tuwanasue. Adamu alifanya huo upuuzi kwa mkewe Hawa alipokula tunda nae akala ili wafanane.Mshangazi anaitafuta ndoa kwa nguvu.
Pia ndoa sio nyumba ya mateso kwa mtu.
What about those who are neither in marriages nor in homes?