OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Mimi niko gado kabisa..
Tumezoea kusikia pilot error, technical prob sasa hii itakuwa porters error....Mazoea na ile pressure ya Arusha airport mida ya saa sita ndivyo vimevimewakamata.....
bora imeangukia chini kuliko ingeangukia juu watu wakapoteza maisha...
Duh...na high season hii?....
Kosa dogo la kusahau kuweka Tail Stand kimesababisha yote haya...
mkuu....hii ya kwako ni caravan 208.....hiyo iliyoketi ni Pilatus..........
Yes ni kule Mbeya!Mkuu PakaJimmy unaniogopesha, hii case naona inafanana na wale viongozi walikufa miaka fulan kwa kosa la kujaza magunia ya mchele upande mmoja ikapaa baadae ikapiga mweleka
baada ya kunihuzunisha nimecheka sana, inamaana tembo na twiga walipangwa na kupimwa uzito kabla ya kupanda kwenye ndege ili kubalance uzito?