Picha: Ndege Yapata Kizaazaa Huko Arusha

bora imeangukia chini kuliko ingeangukia juu watu wakapoteza maisha...
 
Mkuu PakaJimmy unaniogopesha, hii case naona inafanana na wale viongozi walikufa miaka fulan kwa kosa la kujaza magunia ya mchele upande mmoja ikapaa baadae ikapiga mweleka
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya kujuana kwenye kazi hayo;wataalamu wanatoswa wanaajil know Who;***** zao wangekufa tu!

Ambao wangekufa siyo waliopanga mizigo. Ambao wangekufa siyo waajiri. Sasa futa kauli yako ili ubakie kuwa muungwana!
 
Wanaweza kulaumu watengenezaji kwa nini matairi hayakuwekwa nyuma kidogo.
 
Wanaopakia walikuwa kwenye mabasi ya ngorika!!Dar express sasa hapo utategemea usalama kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…