PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

Hivi karibuni Fastjet biashara haikuwa nzuri operating cost ni kubwa sana ukilinganisha na wanachokipata wameamua kubadilisha business model ikiwamo kubadilisha aina ya ndege ,kupunguza route na kupunguza wafanyakazi
 
Usiamini sana kampuni inaposema imepata hasara mana huwa wanafanya hivyo wapate huruma ya kodi
Biashara ya aviation Tanzania inajulikana abiria bado ni wachache sana(domestic route) running cost za hii biashara ni kubwa sana ndio maana mashirika mengi ya Africa nzima except Ethiopian Airline yako hoi
 
Hivi karibuni Fastjet biashara haikuwa nzuri operating cost ni kubwa sana ukilinganisha na wanachokipata wameamua kubadilisha business model ikiwamo kubadilisha aina ya ndege ,kupunguza route na kupunguza wafanyakazi
Hiyo kweli haswa kwa domestic,maana uchimi wa tz haujakaa vzr mzunguko wa hela mgumu,umepelekea abiria kupungua,ila ujuo wa E190 kwa fastjet watagombania viwanja vingi na Precision pmj na 'mapanga shaa'
 
Hakuna wa kupanda hayo mapanga shaa.hivi kwa mfano panga limekatika au kugoma kuzunguka juu si litaua watu?.hayo mapanga hapana kwa kweli
 
Mheshimiwa amesema halipi MTU zaidi ya 15ml utampata Competent gani kwa HELA hiyo hao watu wa ccm hata wakipewa 1ml kwao nisawa ilimradi Fikra za Mwenyekiti zidumu....Nasikitika watu wanaopoteza muda wao wakiamini ETI..kwenye hii miaka 5 kuna chamno kitapatikana! Uzuri wa watanganyika walio wengi ni Rahisi kuwatawala sababu wanaamini Maneno matupu!
 
Inajua mapanga tu!
 
Cv yake ina kipi cha maana, yan mtu alikua branch manager anaaenda kuwa acting CEO wa shirika kubwa kama TTCL...unadhani makampun makubwa kama vodacom, airtel na tigo wanavyoleta watu waliobobea kuja kua wakurugenz wa makampun yao ni wajinga..?
miTANGANYIKA nirahisi kuitawala sababu inaamini Maneno matupu...wakiona Pamflet ya CV wanadhani MTU anajua kazi[emoji16] [emoji16]
 
Tatizo mtu 1 kuamini anajua kila kitu
 
Vipi kuhusu mwendo wa hizi ndege mfano mwanza ...Dar inatumia muda gani? Na je ziko stable ikikutana na hali mbaya ya hewa?
 
Mkuu umetoa maelezo mengi lkn napenda kukujibu hapo mwisho kuhusu weledi wa Menejiment...Mhe,,alishatangaza hatalipa MTU mshahara unaozidi 15ml...hebu niambie kwa Mshahara huo utapata Menejiment gani ya maana yakuendesha Shirika kwa Ufanisi matokeo yake ndio hivyo kuchagua makada Mpaka hapo bado unategemea jambo jipya? nyie mnadhani watu wanaichukia Serikali NO....inajitakia yenyewe!
 
Hapo tuko pamoja...
Mie sina tatizo na ndege, ndege hizo ni nzuri kabisaa...
Kilio changu kiko kwny menejiment.
Ni hatari kubwa manake hapo ndo tunapopotezea kila kitu.
 
Kwa wengi wanachojali ni bei ya nauli si ufahali na muonekano wa hiyo ndege. Kwa unafuu wa running cost hence fare, Bombardier Q400 unaambiwq haina mshindani. Hili dege la kifahari likipanga bei ya nauli sawa na ya Bombardier pamoja nq VAT litafilisika. Hivyo Fastjet hawezi kushindana na ATCL inayobebwa na kupata ruzuku ya JMT kama hakuna ufisadi uliokuwa unaliangamiza/ kulihujumu shirika letu. Tusikubali tena kuhujumiwa au kuingizwa mkenge kwa kuingia ubia kama ule tuliofanya na wa South Africa enzi za Ben na Mramba!
 
Hapo tuko pamoja...
Mie sina tatizo na ndege, ndege hizo ni nzuri kabisaa...
Kilio changu kiko kwny menejiment.
Ni hatari kubwa manake hapo ndo tunapopotezea kila kitu.
Miezi ya mwanzo ya utawala huu ulipata uungwaji Mkono na watu wengi wakiamini anajitofautisha na waliopita sababu waliwekeza sana ccm ambayo ndio chanzo cha NCH hii kufilisika lkn siku zilivyozidi kwenda Mhe...anaitumikia CCM kuliko waliomtangulia tena kwa kutandaza askari watu wasiongee wasikutane...kwa style hiyo unategemea nini
 
wewe ndio utakuwa wa ajabu hivi tunashindwa hata na burundi? sisi na. mapanga shaa wenzetu kila kukicha vita lakini wana mijidege ya kubeba abiria 200 kichwa changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…