Picha namna K-Lyn alivyosherekea birthday party yake chini ya Mengi na Diamond Platnum

Duh lkn unaninanga pekee mbn maana naona mafundi bomba tupo wengi mfn#white girl#kasema anamuunganisha my babe wako kwa kibabu nahc itakua tayari ila haumnangi et mm nimekoma

Nishaunganisha zamani mie na Nasdaz ni babu yangu,muulize basi!!
 
Yaani Mengi na uzee wote huo alafu eti ohh i lobe my baby he is soo handsome ! Dah kweli pesa mwanaharamu

Pesa balaaa hapo mzee hua anahema kama anataka kufa ni raha sana mzee kuwa juu ya kifua cha binti mbichi,yaan hapo kamezwa akili zote hana mzee Mzee Mengi
 
Duh lkn unaninanga pekee mbn maana naona mafundi bomba tupo wengi mfn#white girl#kasema anamuunganisha my babe wako kwa kibabu nahc itakua tayari ila haumnangi et mm nimekoma
Nakunanga peke yako kwa sababu fitina unazo peke yako...huyo white girl mwenyewe ndo ka-promote show; sasa nimnange ili asuse na kisha amsiribie babu yake!!?
 
Last edited by a moderator:
Nishaunganisha zamani mie na Nasdaz ni babu yangu,muulize basi!!
baambiege hao basharobaro wa mjini; hela hawana badala yake wanaishia kuwatilia fitina tunaokula cheque za NSSF bila jasho wala michosho zaidi ya kutafuta wa kutafuna nao!
 
Yaani Mengi na uzee wote huo alafu eti ohh i lobe my baby he is soo handsome ! Dah kweli pesa mwanaharamu
Pesa si mwanaharamu bali ufukara ndo mwanaharamu coz' wakati fedha ina-janisha(makes u young), ufukara unazeesha! Sasa nani hapo mwanaharamu?
 
Nakunanga peke yako kwa sababu fitina unazo peke yako...huyo white girl mwenyewe ndo ka-promote show; sasa nimnange ili asuse na kisha amsiribie babu yake!!?

Duh inabidi niwe mpole tu maana uyo white girl nae kaninanga vby najuuta kuingilia mambo ya kifamilia ngoja nitafute kibibi chenye v8 pale mjengoni kivyangu mtajuta nikifanikiwa
 
Last edited by a moderator:
masikini kibabu kinaisi kimependwa kumbe watu wako after money tu
 
Duh inabidi niwe mpole tu maana uyo white girl nae kaninanga vby najuuta kuingilia mambo ya kifamilia ngoja nitafute kibibi chenye v8 pale mjengoni kivyangu mtajuta nikifanikiwa

Eeeee kumbe hata gari huna mpaka umsake mbibi mwenye V8,!!duuu basi kuwa mpole maana babu yangu ana magari hadi kuna kipindi Mr. fastjet alimzuia kuingiza magar mengine maana yalikuwa makali kuzidi yake,
Sie tupo hapa showroom tunamchagulia bibi gari ya kuendea supermarket
 
Nyie ongeeni ngoja zali la mentali liniangukie ivi unawajua mabibi wa mjengoni au?ayo magari ya babu na bibi yako mtakuja nunua kwny showroom yng na uyo bibi nilienkenga ndo mwny mlimani city halali acha anaepakaziwa.
 
Diamoewe una pepo la pendapenda sasa usije kuingilia anga za babu...pigwa moja ya kichwa!..kaa mbali imba tu mziki na fanya yako!!!si unaona migharama inayotumika?hapana chezea mzee machache wewe!!!e
 
Mi mwenyewe natafuta kibabu wallahi.........vijana hawa stress tupu
dada njoo kwa kijana mimi ambae na mihela ya magunia ya bange....walaaah mi nakuletea morgan heritage wakupigie kwenye birthday yako au unamtaka busy siginal
 
happy birthday k-lynn! dada mkubwa Fixed Point nashukuru kwa mualiko, ningepitwa ujue! hubby Asprin zeeka basi unifanyie mambo kama haya!
Mungu naibariki nizeeke sura tu, ila hiki kkupacho raha mke wa ujana wangu, kiendelee kuwa imara na imara zaidi....... Ila usitake kunivunja kama ulivotaka kunuvunja juzi, kama raha si twapata wote mke wangu? Khaaaa!!!!
 
Mi mwenyewe natafuta kibabu wallahi.........vijana hawa stress tupu

Niunganishe tu.......mambo ya kujifanya ujana ulikula na nani hayapo bana..mambo ya kamata fursa

hahaha niwe tayari mara ngapi!!!!!!!

sawa baby.....uzee mwisho Chalinze mjini wote baby.......

mambo si ndo hayooooooooooo

Oooh God!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom