Picha na video bora za siku

Je ni picha gani imekuvutia siku ya leo?

Je ni video ipi umeitazama na imekuvutia siku ya leo?

Basi tushirijishe hiyo picha/ video.
View attachment 829295





My Take
- Wanyama ambao katika jamii wanaogopeka sana.
- Watu katika Mataifa mengine wanacheza nao kwa umahiri mkubwa.
- Inavutia kwa kweli

CC Mshana Jr
Kuna jambo lilitokea ambalo itabidi nilifanyie post ....tags zote nilikuwa sizipati...naona nilitestiwa
 
"Kuchapiwa ni siri ya ndani"
FB_IMG_15389212636520655.jpeg
 
Kenya walisema wameandika kuupromote mlima, kwani hawajasema upo kwao, pia kuna shirika la ndege la ulaya nalo limeandika hivyohivyo
Je hawanufaiki na hayo maandiko yao? Kama wananufaika basi ifanyike mkataba au waache tena hasa hasa Kenya kwa sababu wao wanaweza kuwahadaa wageni kirahisi kutokana na geographical location ya huo mlima. Hao Wa ulaya wanaweza kuwa na faida kwetu kwa upande mwingine

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom