andrewk
JF-Expert Member
- Apr 13, 2010
- 3,102
- 491
Ushauri wa bure dada, next time jaribuni kutumia kamera/picture capturing devices zenye ubora. Hizi picha ubora wake haureflect ubora wa CHADEMA kama taasisi kwa sasa.
Otherwise kazi nzuri mnafanya. Nilikuwepo leo pale viwanja vya Barafu.
Ushauri mwingine, naomba sana CHADEMA kama mnataka kuendelea kuwa chama makini chenye wanachama makini, hacheni tabia ya kupokea wanachama katika mikutano ya siasa kama ilivyokua leo. Huu mtindo si mzuri na unaweza kuhatarisha uimara na mustakabali wa chama, kwani mnaweza kupokea na makapi na mashudu yasiyofahamu itikadi na misingi ya chama (hii tabia imeiumiza sana CCM). Jengeni utamaduni na utaratibu wa kuwapa wanachama watu ambao wanafahamu na kuamini katika itikadi na misingi ya chama. Ni heri chama kiwe na wanachama 200 wenye kufahamu na kuishi itikadi na misingi ya chama, kuliko kuwa na wanachama milioni 2 wasioishi na kuelewa misingi ya chama.
Asante.
Aluta continua.
tunataka taarifa sio ubora wa picha, ujumbe ndio muhimu zaidi ya ubora....atanzani tulichagua rais kwa uzuri wa sura nayaona sasa