Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 871
- Thread starter
- #101
Najiandaa kushona Kilemba na mkoba wenye rangi zote za CHADEMA.Dizaina wangu ameshadizaini.

hahaa wewe Kigagu unanifurahisha sana sasa azi Photoshop ili iweje?
tunachohitaji ni taarifa kulingana na uwezo wa kuzipata, suala la kuhitaji picha za zilizo nje ya uwezo wa mtoa taarifa sio la msingi.
tunashukuru dada kwa kazi nzuri, walitudharau vivyo hivyo hata wakati wa uchaguzi mkuu uliopita kuwa wagombea wa CDM hawana fedha lakini ndo hao hao waliowang'oa mafisadi wakubwa ambao tunawafahamu. kitaeleweka tu na vitendea kazi vyetu duni, ubora wa chama haupimwi kwa utajiri wa wafuasi wake bali ni nia ya dhati ya kuingia ikulu.
tunataka taarifa sio ubora wa picha, ujumbe ndio muhimu zaidi ya ubora....atanzani tulichagua rais kwa uzuri wa suru nayaona sasa
hujajipanga na hujui siasa hasa za nchi hii, kuhusu picha Regia si mwandishi wa habari, ameamua kutupa tusafishe macho, sioni tatizo na hizo picha.
Wakuu Salam.
Nimeona ni vema nikawatumia picha kidogo ili mfurahishe macho kuhusiana na mkutano wa baadhi ya Wabunge wa CHADEMA uliofanyika katika Viwanja vya Barafu hapa Dodoma..Maelezo ya kilichojadiliwa naona kuna mwenzangu serayamajimbo ameshaeleza.
Wish You all the best.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
FF Nikweli unachokisema.
1. Ni ukweli usiopinga kuwa tumechoka na udhalimu unaofanywa na Serikali legelege ya Magamba.Wananchi wanapata shida kila leo,gharama za maisha ziko juu,mishahara ya watumishi mnawacheleshea na bado mnawakata bila sababu za msingi,kuna wanafunzi kibao waliochaguliwa kuingia vyuo vikuu wameshindwa kusajiliwa kwa kushindwa kulipa sehemu ya gharama za ada na mengineyo,wakati wenzetu mko mnayoyozika na laptops za mamilioni na maposho kibao mnajimegea,raha tutatoa wapi?Ni lazima tuchoke na hili liserikali lenu dhalimu..
2. Pamoja na kuwa picha zangu hazina ubora kama unaoutaka wewe au baadhi ya watu hapa,lakini angalau nimeweza kuwaonyesha kidogo tu ya kilichojiri kwenye mkutano wa jana na ninashukuru kuwa bado na wewe umekuwa mchangiaji mzuri kwenye sredi hii.
3.Nitaendelea kurusha picha ziwe nzuri ama mbaya zinazohusu matukio ya CHADEMA billa kujali ubora wa picha hizo,mi sifanyi biashara wala sio mpiga picha wala sitokei Magamba mnaotaka picha zakutengeneza..Im alywaz natural and i like natural things,watch my steps!
Me nkajua uwanja wa Jamuhuri nao utajaaa kama vile vya NMC jamani ndugu zangu bhalibaho mumeniangusha ila ntakuja huko DOM kwa ajili ya 2015 hapo mjini