Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

Gwanda true linapendeza especially with the right size and style bra.

Unatupia na red scarf kwa ndani kwenye shingo na red earrings .....

or a thin red or blue belt
 
Magwanda ninayo tena ya kutosha tu ila lazima kuwa na varieties kama hizo za rangi za chama..Unakuwa mdada hasa..Napenda rangi za CHADEMA,zinamvuto hasa,ukivaa ukishona gauni au sketi zinapendeza ila mbaya..

Nikienda Arusha utaniona na zingine..
 
Kitu ulichonifurahisha kwenye hiyo picha ni ulipoamuwa kubaki na nywele za kizalendo, umeonesha uzalendo wako kweli kweli na nnakupa pongezi, hizi za kwenye avatar hazifai, inakuwa kama muhindi koko, ibadili avatar uoneshe uzalendo wako wa dhati.
 
Hata muandamane kutwa kucha, Tanzania hii ng'o, hamtufikii idadi yetu hata mfanye nini. Jaribuni.

idadi yenu akina nani? ninachojua ni kuwa idadi ya mambumbumbu waliopo ccm ni kubwa sana na hakuna chama kinachoweza vunja hiyo rekodi, i guess that's what u you mean!
 
Magwanda ninayo tena ya kutosha tu ila lazima kuwa na varieties kama hizo za rangi za chama..Unakuwa mdada hasa..Napenda rangi za CHADEMA,zinamvuto hasa,ukivaa ukishona gauni au sketi zinapendeza ila mbaya..

Nikienda Arusha utaniona na zingine..

Please don't

Kuchanganya rangi kama hii ya leo.....it looks tacky. Kaa joker (@-@)

Kama vipi vaa rangi moja ......Nyekundu with a thin blue belt (or Blue with another one colour belt)

Au rangi moja nguo....but accessories vaa za rangi nyengine moja.

Hii ya kuchanganya rangi kama leo mkono mwengine, kifua nusu nyengine, hapana aisee, haivutii
 
Hivi hao kwenye picha ndio wanachama wenu woooote Dodoma nzima? mnanchekesha! si bora hizo picha mngezi "photo shop" kidogo kama kawaida yenu muonekane japo wengi wengi, au hamjampa maujanja huyu aliozibandika humu, maana sijui hata kama anajuwa huo ujanja mnaoufanya siku zote humu, mum "PM" mumpe maujanja ya "photo shop", hayajuwi huyo.

inadhihirisha jinsi CHADEMA walivyo wakweli na waaminifu wasiopenda kuchakachua kama ccm!
 
Magwanda wanapomzimia Nape

5149024.jpg

Nape anapojipendekeza kwa CHADEMA
 
Kulikuwa kuna msiba?

eeh!! si msiba wa ccm, ulikuwa unapitishwa mchango wa sanda ya ccm, pia ilijadiliwa huyu ccm azikwe kiisilamu, kikristo au tufuate ya kingunge, ugumu uko hapo tu.
 
Please don't

Kuchanganya rangi kama hii ya leo.....it looks tacky. Kaa joker (@-@)

Kama vipi vaa rangi moja ......Nyekundu with a thin blue belt (or Blue with another one colour belt)

Au rangi moja nguo....but accessories vaa za rangi nyengine moja.

Hii ya kuchanganya rangi kama leo mkono mwengine, kifua nusu nyengine, hapana aisee, haivutii

Kapendeza sana na kumbuka usemi ''Beauty is in the eyes of the beholder'' na pengine wewe umevaa chupi ya kaniki na ndivyo mkeo/mmeo anakuona umetoka chicha!
 
Nyie mdanganyeni tu!

Mpaka unajiuliza "hana marafiki huyu?"
 
Hivi hao kwenye picha ndio wanachama wenu woooote Dodoma nzima? mnanchekesha! si bora hizo picha mngezi "photo shop" kidogo kama kawaida yenu muonekane japo wengi wengi, au hamjampa maujanja huyu aliozibandika humu, maana sijui hata kama anajuwa huo ujanja mnaoufanya siku zote humu, mum "PM" mumpe maujanja ya "photo shop", hayajuwi huyo.

hahaa wewe Kigagu unanifurahisha sana sasa azi Photoshop ili iweje?
 
idadi yenu akina nani? ninachojua ni kuwa idadi ya mambumbumbu waliopo ccm ni kubwa sana na hakuna chama kinachoweza vunja hiyo rekodi, i guess that's what u you mean!

Haswaaaa, kama ulikuwepo, mambumbumbu tunapowangoza wasio mambumbumbu, tuwaiteje?
 
marafiki anao na walimuona na walimpa big up, kasoro unayotoa wewe is just a drop in the ocean! just TRIVIAL!

Si trivial kwa mwanamke. And that mess she has on wont look good on a kid even; and kids look good in anything!!
 
Back
Top Bottom