Naomba nifahamishwe,huu ulikuwa mkutano wa kisiasa au ilikuawa ni siku ya mtoto wa Afrika iliyo azimishwa kitaifa wilayani IGUNGA Mkani TABORA?Nakama nimkutano wa ccm wakuba wapo upande upi?mkubwa namuona mmoja sijui ndo mpishi?Vitu kama hivi kwenye mikutano ya CCM huwa havikosekani ukijumlisha usafiri na Posho View attachment 79416
Kwa nini Mara nyingi mnaporipoti habari za Slaa hamtuletei aliyosema yanayohusiana na sera au utatuzi wa matatizo ya nchi. Mnataka kuonyesha kuwa Slaa siku zote ni kushambulia Serikali na chama tawala tu hawaelezi wananchi sera za CHADEMA na hatua zingechukuliwa na chama kama kingekuwa madarakani. Watu wana kiu kusikia sera mbadala na hamumtendei haki Slaa kwa kumwonyesha kama mlalamishi Mara zote katika mikutano yake.Moshi yawa kufuru.
Dr slaa ndio anahutubia na amewaomba ccm wenye hasira wachome kadi zao, watupe au waiweke Kama mjane.
Ameuliza wanao Kubali madiliko wanyooshe mikono juu umati ukaonuka na kusema kaburi la ccm lianzie Moshi.
Slaa akamwambia OCD, RPC na mkurugenzi kutuma ripoti kwa kikwete kwamba wananchi hawamtaki na wampe ushahidi wa picha kwenye nyomi iliyokuwa hapo.
Ntawajuza zaidi.
Update.
Slaa amemwambia kikwete Kuwa alishamuonya Kuwa nchi haitatawalika na yametimia. Amuonya Kuwa asifanye kazi kishemeji yeye na mwema kwa kupoteza maisha ya watu. Nakwambia ikulu Leo hapakaliki kwani dunia imeshamjua na wanamuandalia the Hague na Kama kuna Polisi anataka kunikamata aje tuu Hapa Hapa wala asinitafute baadae
Vitu kama hivi kwenye mikutano ya CCM huwa havikosekani ukijumlisha usafiri na Posho
View attachment 79416
hahahaah...hapo watu walitazama ze komedi kwanza kisha wakapewa ubwabwa hakuna cha siku ya watoto walanini ni mkutano wa ccm..Naomba nifahamishwe,huu ulikuwa mkutano wa kisiasa au ilikuawa ni siku ya mtoto wa Afrika iliyo azimishwa kitaifa wilayani IGUNGA Mkani TABORA?Nakama nimkutano wa ccm wakuba wapo upande upi?mkubwa namuona mmoja sijui ndo mpishi?
Jana Mwigulu kaitisha mkutano pale Manzese akasahau kuleta hii kitu kama walivyotarajia waliokuja.Vitu kama hivi kwenye mikutano ya CCM huwa havikosekani ukijumlisha usafiri na Posho
View attachment 79416
Sasa usipo weka vitu kama hivi akina ritz na chama utawapata kweli...Jana Mwigulu kaitisha mkutano pale Manzese akasahau kuleta hii kitu kama walivyotarajia waliokuja.
Kilichotokea ni watu kula kona yakabaki maCcm walovaa shati na kanga za kijani tuu.
Vipi matusi, je hakukuwa na wake za makada karibu...Jana Mwigulu kaitisha mkutano pale Manzese akasahau kuleta hii kitu kama walivyotarajia waliokuja.
Kilichotokea ni watu kula kona yakabaki maCcm walovaa shati na kanga za kijani tuu.
Sasa usipo weka vitu kama hivi akina ritz na chama utawapata kweli...
kwa hiyo kwa akili yako hiyo ndogo unafikiri watu wa Moshi ni sawa na watu wa pwani wanaopenda kwenda kuangalia Taarabu(TOT) ukiona watu wa Moshi wakienda kuhuzuria onyesho la TOT ya Komba,basi ujue wanachoenda kushangaa pale ni lile "Tumbo"la Komba.,,unajua huku kwetu hatujazoea kuona wanaume "Wajawazito":! Lakini hata kama Komba akija na TOT na kuwajaza watu kwenye mkutano,huoni sababu ni vile band itakuepo! Swali kwako je leo kulikuepo na Band yeyote kwenye huo mkutano wa Makamanda?SLAA aangalie anaweza kubandikwa kesi ya uhaini na ikampotezea muda.NCHI haitawaliki maana yake ni nini??
Tunampenda Slaa kwani amesaidia kuifanya CCM itembelee vodole lakini achunge kauli zake.Kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe na ajue JK kashika mpini naye kashika makali.Watanzania hawaaminiki,kesho akija Komba na TOT utawaona hao hao wamejaa.
Masaburi ya mkeo
Kule wakienda makamanda kama Lema hakika hakuta kalika ni bora wasiende ili Kikwete amalizze muda wake....hii nchi imefika pabaya sana maana watu wamesha ujua ukweli sasa kwa watu kama hao wa Mtwara wameiva ukiwapelekea kiberiti na mafuta mabadiliko ya nchii yataanzia Mtwara kinyume kabisa na matazamio ya watanzania walio wengi..Naomba twende na Mtwara ili tukawape raha wananchi wa Mtwara baada ya karaha walioipata jana toka kwa kada wa CCM James Mbatia
Mbatia hakuwepo kweli huku wakati wa kula mchele?Vitu kama hivi kwenye mikutano ya CCM huwa havikosekani ukijumlisha usafiri na Posho
View attachment 79416
kwa hiyo kwa akili yako hiyo ndogo unafikiri watu wa Moshi ni sawa na watu wa pwani wanaopenda kwenda kuangalia Taarabu(TOT) ukiona watu wa Moshi wakienda kuhuzuria onyesho la TOT ya Komba,basi ujue wanachoenda kushangaa pale ni lile "Tumbo"la Komba.,,unajua huku kwetu hatujazoea kuona wanaume "Wajawazito":! Lakini hata kama Komba akija na TOT na kuwajaza watu kwenye mkutano,huoni sababu ni vile band itakuepo! Swali kwako je leo kulikuepo na Band yeyote kwenye huo mkutano wa Makamanda?
Kwa nini Mara nyingi
mnaporipoti habari za Slaa hamtuletei aliyosema yanayohusiana na sera au
utatuzi wa matatizo ya nchi. Mnataka kuonyesha kuwa Slaa siku zote ni
kushambulia Serikali na chama tawala tu hawaelezi wananchi sera za
CHADEMA na hatua zingechukuliwa na chama kama kingekuwa madarakani. Watu
wana kiu kusikia sera mbadala na hamumtendei haki Slaa kwa kumwonyesha
kama mlalamishi Mara zote katika mikutano yake.