Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Mjini Moshi - Jan 14, 2013

Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Mjini Moshi - Jan 14, 2013

Acha unafki wewe ndo huaminiki
Kwa mtu mwenye akili ataelewa nini maana ya nilichokiandika lakini kwa mashabiki ambao hata kadi ya kupigia kura hawana itakuwa ngumu kunielewa,hao ndo wanaotuangusha wapenda mabadiliko a naamini wewe si mmoja wao.
 
Ukweli husemwa:

Kutotawalika kwa nchi kuna maana nyingi, hata hivyo kwa wapenda amani na umoja katika utawala wa kidemokrasia, huu siyo wimbo wanaopenda kuimba. Kuimba wimbo kama huu kunatoa picha ya;

.selfishness

.desperation.

.dictatorial mentarity

Kama nchi haitatawalika kwa sasa, nani na lini na kwa gharama ipi itatawalika.

This is tradegy for Tanzania politics to have politicians susceptible for unguarded word.
A very nice peace of wisdom.Nimeandika mahali pia kuwa kauli hizi hazifai kwa sasa.
 
Mbona Dr Slaa anaonekana mwenye huzuni?.

umewai kuona sherehe kwenye uwanja wa mapambano..mpaka watanzania wakombolewe ndio utashuhudia nyuso za furaha za wazalendo zikiongozwa dr.slaa wa ukweli.
 
anaefilisika hajui kama abnafilisika. na siku zote dikteta haamini kama anaanguka au anashindwa
 
Hahaha, huoni wanavyompopoa mawe? Hihiiiiii....


Hahahahahahahahaaa.....wakimuo na Dr. Slaa wanapata kiwewe.
Ukiwa msafi lazima uogopwe na wachafu......sosi, Big.
 
Last edited by a moderator:
Ivi nimkoa gani ambao ccm bado wajivunia kama ngome yao!!!!!!!! mwenye kujua anijuze na mimi
 
Hoja za magafu wa bavicha mwanza na kisandu wa tanga amezijibu?
 
dawa ni kususia mikutano yote itakayofanywa na ccm.kwa sababu haian maana yoyote kwa wananchi watanzania
 
Dr Slaa ndiye president,kwa sasa niko mbeya kila mtu anataka huyu jamaa aje huku,ahutubie walau mkutano mmoja hapa jijini mbeya!......
 
Ivi nimkoa gani ambao ccm bado wajivunia kama ngome yao!!!!!!!! mwenye kujua anijuze na mimi
Kwakweli sijui maana mwishoni mwa mwaka jana walifanya mkutano pale pwani ilikuwa aibu tu nina uhakika chadema ikisimamisha hata balozi wa nyumba 10 kule msonge chadema itaibuka kidedea...kama italinda kura tu
 
Back
Top Bottom