Mambo mengine yanaleta raha fulani. Last week tuu hapa JF palikua hapatoshi, timu ya washabiki wa Nape& co ilikuwa hailali ni Slaa na kadi mbili na Bavicha na masalia.
Hiyo yote ilikuwa kudhoofisha na kuleta utengano Chadema na kumkatisha tamaa Slaa na viongozi wengine makini. Sasa kikowapi walichopata? Slaa ndiyo huyo kaja na kushambulia kama Commando aliyetoka mapumziko.
Sijui wale watu watakuja na lipi maana naona mbinu kama zimekwisha vile! Na kutumia Polisi ndio hivyo tena kimenuka huko wanakoenda kuomba kila siku na The Hague washasema kwa sasa hawako busy sana nafasi za kesi mpya bado zipo
.....pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kila mpenda mabadiliko aseme 'amen'Dr. Slaa, wewe utasimama mbele yetu Watanzania, kichwa chako cha kijivu (mvi) ni heshima kubwa mbele ya Watanzania na uso wako una heshima ya mzee, wewe umche Mungu, sisi wananchi tuko pamoja na wewe ukombozi uko mlangoni na kila Mtanzania atakunywa soda siku ya kuapishwa kwako ndipo kila Mtanzania ataamini hii nchi imejaa maziwa imejaa asali.
Na hawa wamekuja wenyewe .................... hakuna aliyeletwa na FUSO!!
Revolutionarytz: Mwigulu, Nape waje hapa waanze kumtukana Rais wao....lol
Dr. Sla is my man
Masaburi ya mkeoMunyangaa your man unampa nini?![]()
unapaswa upigwe ban kwa lugha zako chafu nashangaa mods wanakuacha tu hapa.
Nabado kuna maandalizi ya kuanza kuwa kimbiza hawa majangili mpaka 2015...