Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Mjini Moshi - Jan 14, 2013

Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Mjini Moshi - Jan 14, 2013

Mambo mengine yanaleta raha fulani. Last week tuu hapa JF palikua hapatoshi, timu ya washabiki wa Nape& co ilikuwa hailali ni Slaa na kadi mbili na Bavicha na masalia.
Hiyo yote ilikuwa kudhoofisha na kuleta utengano Chadema na kumkatisha tamaa Slaa na viongozi wengine makini. Sasa kikowapi walichopata? Slaa ndiyo huyo kaja na kushambulia kama Commando aliyetoka mapumziko.
Sijui wale watu watakuja na lipi maana naona mbinu kama zimekwisha vile! Na kutumia Polisi ndio hivyo tena kimenuka huko wanakoenda kuomba kila siku na The Hague washasema kwa sasa hawako busy sana nafasi za kesi mpya bado zipo
 
Walisema ni chama cha msimu. Vipi mbona kiangazi kipo na masika kipo??
 
Jamani huu nao ni uhaini kwenda kwenye kitu kitamu kama mkutano huu wa moshi na kushindwa kutuma picha, ni nini sasa ni ubora mfunge mabakuli yenu kuliko kutufanyia uvunjivu wa haki kama huu, Ni haki yetu kuona maccm yakigalagazwa step by step, simu ziko chungu nzima ndugu makene tuambie huu ni upuuzi gani wa nadhari, wakati wa nadharia umekwisha tuko kwenye era ya matendo, uwezo wa kupiga picha tunao, nia tunao, wapignaji tunao, wananchi wa kupigwa picha tunao tatizo ni nin kam sio sabotage
 
Pamoja na kelele zote za kadi mbili na Bavicha " kumekucha" watu ndio wanazidi kuonyesha Imani yao kwa Chadema. Ningekuwa mimi ni Nape,Mwigulu au Wassira ningehakikisha mdomo wangu hautamki neno " Chadema" kamwe maana wao bila kujijua wanadhani matusi yao kwa Chadema na viongozi wake ndio wanawamaliza kumbe hiyo ni mbolea ya kuistawisha zaidi Chadema na wananchi kuzidi kuiunga mkono
 
attachment.php

Kabla ya makamanda hawajaanza kupanda jukwaani...
 

Attachments

  • moshi.jpg
    moshi.jpg
    65.4 KB · Views: 478
unapaswa upigwe ban kwa lugha zako chafu nashangaa mods wanakuacha tu hapa.

Vyema na wewe pia upigwe ban kwa maana wewe ni mchokozi sana. angalia ulipoanzia na Inbox unazonitumia. Na kama Mods watakuwa wanatenda haki, wataangalia ulivyoanza. Wewe ule Ban ya miezi tatu mimi siku 15. Ngoma droo
 
Hahahahahaahaaa.....
Huwa nacheka sana ninapoona vichenchede vimekimbia uzi.
 
Pamoja na kelele zote za kadi mbili na Bavicha " kumekucha" watu ndio wanazidi kuonyesha Imani yao kwa Chadema. Ningekuwa mimi ni Nape,Mwigulu au Wassira ningehakikisha mdomo wangu hautamki neno " Chadema" kamwe maana wao bila kujijua wanadhani matusi yao kwa Chadema na viongozi wake ndio wanawamaliza kumbe hiyo ni mbolea ya kuistawisha zaidi Chadema na wananchi kuzidi kuiunga mkono
Ni promo ya nguvu wanayoifanya hao wapuuzi...
 
Siasa za kibongo bwana.Mtu hadi mishipa Ina mtoka kupiga kelele kumbe tumbo ndo linaongea
 
CHADEMA ni tunu kutoka kwa Mungu. CCM ni chama kilicholaaniwa kama shetani. Chadema ni tumaini letu hapa duniani.
 
Ukweli husemwa:

Kutotawalika kwa nchi kuna maana nyingi, hata hivyo kwa wapenda amani na umoja katika utawala wa kidemokrasia, huu siyo wimbo wanaopenda kuimba. Kuimba wimbo kama huu kunatoa picha ya;

.selfishness

.desperation.

.dictatorial mentarity

Kama nchi haitatawalika kwa sasa, nani na lini na kwa gharama ipi itatawalika.

This is tradegy for Tanzania politics to have politicians susceptible for unguarded word.
 
Back
Top Bottom