RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,861
- 2,754
Mtu anapozi kupiga picha ndo mnamsifia ... ? mwenyewe anasaini posho yake ya kuvizia wachelewaji wizara ya fedha na TRA
Naunga mkono hoja!Namuomba atoke dar ahamie dodoma, asikalie dar, dodoma mji mkuu na una ikulu vile vile
haya Mungu ampe hekima na busara tu
Jamaa ana hamu.........na hilo ndio la muhimu
kaka nimeipenda hii comment yako,huyu msemajiukweli zi zuzu sana,unajua lowasa alichokifanya ni jambo la kijasiri sana na ukweli yeye ndo aliyeshinda urais na ataendelea kuwa rais wa miyoyo ya watanzania,atapambana nje ya serikali na siku moja utakuja elewa tuna maana gani,na ukitaka kujua kwamba huyu jamaa yuko vizuri,angalia hata mke wake amepewa ubunge wa viti maalum amekataa,so hawa watu hawana njaa,hawafanyii kazi shida
Lazima utendaji kazi uwe ni kipimo cha utu na mafanikio.Mungu mjalie kwakupitia Raisi wetu mpendwa wetu uchumi wetu uinuke kwa WA Tanzania wote ameen
Nakubaliana na fikra zako.Tufanye kazi na sisi hawezi peke yake
Rais wa Awamu ya Tano ni KaziTu.Hapo nadhani Vibaka na wadokozi wanatetemeka hawajui hilo faili analiopitia ni la Richmond, Epa au Rada
Mmmh, Sina uhakika lakini sidhani kama ''anamchinja mtu''. Hawezi kuanza ''kuchija mtu'' siku ya kwanza ya kazi yake mpya.Hatimaye....hapo anamchinja mtu