Picha na Habari: Siku ya kwanza ya Rais Magufuli akiwa ofisini Ikulu

MATARAJIO YANGU KWA JOHN POMBE MAGUFULI
Baada ya kuapisha kuwa Rais wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 05.11.2015 (10:49 A.M), mimi kama raia wa Tanzania nina matarajio yafuatayo kwa Mh. Dr.John Pombe Magufuli.
? Kutatua haraka tatizo la Zanzibar lililotokana na ZEC kufuta uchaguzi pasipo na sababu za Kimsingi.Hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa na Wananchi wake.
? Kuwaunganisha Watanzania ambao wametofautiana kutokana na Vyama vya siasa kuwagawa kwa misingi ya itikadi za vyama,dini,makabila na ukanda wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba,25,2015.Makovu haya ni mengi na kwa watu wote sehemu zote.
? Kuinua ari ya uwajibikaji na uchapakazi Serikalini na watu binafsi na Viongozi wote watakaozembea wawajibishwe mara moja.
? Kuboresha huduma za afya katika Hospitali zote nchini na Zahanati na kuepuka Viongozi kwenda kutibiwa nje ya nchi.
? Kuhakikisha kila anayepaswa kupata elimu anaipata na hatimaye kufuta ujinga ambao umekithiri sana hivi karibuni.(Rejea kura nyingi kuharibika)
? Kuwashughulikia wote waliohusika na watakaohusika na rushwa (Matumizi mabaya ya Ofisi na mali za Umma kwa manufaa yao binafsi)
? Kuboresha Viwanda vilivyokuwepo kwa kuvipatia ruzuku na kuondoa mlolongo wa kodi na michango ambayo badala ya kuviendeleza huviumiza zaidi.
? Utatuzi wa matatizo ya wakulima uwe wa kweli na wenye tija.Matatizo kama pembejeo,masoko,mitaji n.k huwarudisha nyumba sana wakulima na hatimaye Taifa.
? Ajira kwa Vijana ambao wanamaliza shule na vyuo. Kuiunua viwanda,kufufua kilimo,kukomesha rushwa,uwajibikaji na elimu za ufundi kwa pamoja zitatoa ajira kwa vijana.
? Kutokomeza umaskini wa kipato kwa wananchi wa hali ya chini kwa kufufua kilimo,kutoa ajira,kukomesha rushwa na kutoa huduma safi za afya.
? Kupunguza pengo kati ya wenye nacho na wasionacho (Tajiri na Maskini) kwa kupunguza mianya ya unyonywaji kwa wasionacho.
Ni matumaini yangu kila Mtendaji atatoa ushirikiano mkubwa katika kufanikisha haya na JPM atafuatilia kwa ukaribu watendaji wasio na tija wenye nia ya kuendekeza ulaji na upigaji wa madili badala ya kuleta maendeleo.
Nakubaliana na wewe lakini nataka watanzania wajue yeye nu mmoja hawezi peke take ututoa tulipo kwenda anapotaka twende, nashauri tumuunge mkono kwa kufanya nae kazi,
 
Usibadil maneno yangu namaanisha apewe hekima na busara
Watanzania wapiga kura wengi siyo wajinga kama unavyotaka nikuamini!

Watanzania wapiga kura wengi hawawezi kuchagua Rais wao ambaye hana hekima na busara. Imesemwa, ''Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu''.
 
Hapo nadhani Vibaka na wadokozi wanatetemeka hawajui hilo faili analiopitia ni la Richmond, Epa au Rada
 
American statesman and a retired four-star general in the United States Army, Colin Powel once said, ''There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure''.

He also went further and said, ''A dream doesn't become reality through magic; it takes sweat, determination and hard work''.

President Magufuli is living the dream!

1gbbb.jpg
Hatimaye....hapo anamchinja mtu
 
Hapa kazi tuu ukishindwa pita hivi..... Mpaka mjitambue kama watu wa kilimanjaro na Arusha
 
Mkurupukaji...... leo nasikia kakurupukia WIZARA YA FEDHA kwa Miguu,. Kwann hajajaribu kwenda WIZARA YA MALIASILI NA UTALII kwa miguu
 
kaka nimeipenda hii comment yako,huyu msemajiukweli zi zuzu sana,unajua lowasa alichokifanya ni jambo la kijasiri sana na ukweli yeye ndo aliyeshinda urais na ataendelea kuwa rais wa miyoyo ya watanzania,atapambana nje ya serikali na siku moja utakuja elewa tuna maana gani,na ukitaka kujua kwamba huyu jamaa yuko vizuri,angalia hata mke wake amepewa ubunge wa viti maalum amekataa,so hawa watu hawana njaa,hawafanyii kazi shida

Utakuwa masiki kwa kitegemea wenzako nani ka kwambia rais wa watu, wewe unatusemea sisi? Fanya kazi urais ni wake na familia yake,utakufa umasikini tu,
 
Du mbona Pc imezimwa?kweli ndio mana hatusongi kila kitu to manual....

Serekalini wansniudhi na madokezo yao.utakuta mtu kajipinfa na dictionary ansandika dokezo wangetumia communicator au emails wangepunguza mfumo wa kikoloni.hata hizo peni pengine zimeachwa na gavana wanafanya kazi ya kunyonya wino na mibomba ya sindano na tai zao kama ulimi wa chatu
 
MsemajiUkweli hukuwa na haja ya kumtaja Lowassa. The man is probably wealthier than your whole clan combined. Live your life and let him live his. Whether anafuga ng'ombe au kuku it's none of your business.
Plus, kuhusu hardwork....hardwork gani? Ya kuhujumu demokrasia?
Regina Lowasa amekataa uteuzi aliopewa wa viti maalum na kamati kuu ya Chadema, sasa muulize yeye kwenye ukoo wao mzima kuna mwenye jeuli ya kukataa pesa za bure?
 
Kama utambui uchapakazi wa magufuli wewe ni mzigo tu ,ushauri wangu Fanya kazi utatoka lakn ukiishia kulalamika wakati hakuna kazi unafanya jiandae kuwa masikini tu adi mvi kichwani
Maskini ni nyie miCCM. CCM chama cha watu masikini wa fikra. Na hiyo ni independent research nimefanya mimi.
Mi nasema poa tu, hata mumweke nani shauri yenu. Namba mtaisoma nyie na watoto wenu. Tanzania sio mama wala babangu. Mkitaka muifyonze muimalize yote........
 
Regina Lowasa amekataa uteuzi aliopewa wa viti maalum na kamati kuu ya Chadema, sasa muulize yeye kwenye ukoo wao mzima kuna mwenye jeuli ya kukataa pesa za bure?
Namshangaa huyu MsemajiUkweli utakuta ni kajamaa tu huko mtaani hakana mbele wala nyuma leo anapata jeuri ya kumsema mzee Lowassa.
Anajisahau kwamba hata kama EL ameshindwa bado sio mtu wa level moja naye!
 
Last edited by a moderator:
MsemajiUkweli hukuwa na haja ya kumtaja Lowassa.
Nimeamua kumtaja kwa sababu malengo yao yalikuwa yanafanana lakini ndoto zao zilikuwa tofauti!
The man is probably wealthier than your whole clan combined.
Probably is not definite.

I can say, the man is improbably wealthier than my whole clan combined.

Live your life and let him live his. Whether anafuga ng'ombe au kuku it's none of your business.
I'm living my life. He's living life as a public figure.
Plus, kuhusu hardwork....hardwork gani? Ya kuhujumu demokrasia?
Demokrasia ipi unayosema imehujumiwa?
 
Back
Top Bottom