PICHA: N/Waziri mwenye lugha ya dharau kwa Vijana enzi zake akiwa choka mbaya

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Hapa ni kabla hajatumia ile technic inayotumiwa na wengi ya kumtukana Mbowe na CHADEMA kisha kupewa ulaji na kulambishwa asali, jamaa keshasahau kwa sasa anawaona vijana wasio na ajira wanaotafuta mikopo na kukosa kwamba ni wajinga fulani hivi au ni wakenya kwa akili yake na ujeuri wake ni kwamba hakuna aliyeomba mkopo akakosa

Hii ni picha yake ezi hizo akiwa choka mbaya kabla hajalamba asali na kujiita karai.

 
Tumpongeze Katambi kwa kufanikisha, hizi nyingine ni kelele tuuu
 
Dah no one knows tomorrow.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
amekuudhi sana wewe binafsi hadi umefukua makaburi we noma mkuu!

kumbe teknolojia inayoogopwa ni watu sio kiibodi! !
 
2025 ndio mwisho wake, mama habebi mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…