Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Watoto wa Nyerere wanajulikana hii tabia ya ktumia majina ya wa tu kwa umaarufu haifai,Esther na Lilian Wasra nao walijifanya kama watoto wa Wasra kumbe ni geresha,sasa Mzee Joseph Nyerere nae ni nani katika nchi hii hadi mtoto wake apewe coverage kisa kujiunga na Chadema! Au mnatumia Jina la Nyerere kujifanya kama ni watoto wa Mwl Nyerere!

Inaelekea hukumfahamu Joseph Nyerere au una uchungu wa kuona CDM inavyokubalika, au vyote viwili!!
 
Pasco ikiwa hizo comments zinazoweza kuhatarisha julius kuwa mwenyeheri zikija na julius kukosa wenyeheri manake julius hakustahili. Kama kuna yeyote mwenye chochote chema au kibaya juu ya julius kambarage akiseme tu. Hata vikifichwa haitakuwa raisi kwa binadamu kumpa au kuzuia utukufu wa roho iliyoumbwa na Mungu
 
'Dhamira inakusuta'.ndivyo alivysema mama mmoja katika uchaguzi uliopita alipohojiwa on TV;'nikitaka kuwapigia kura wapinzani,moyo wangu unanisuta' Yule mama amewafanya wengi kuipigia kura CCM kuliko kampeni yote aliyofanya JK.
Moja wapo ya sifa kubwa aliyokuwa nayo baba wa Taifa ni kuwa MKWELI, hakuwa mnafiki! alisimamia ukweli na kile tunachokiamini anachokiamini mpaka mauti yalipo mkuta. KWAKUWA kitanda hakizai haramu hatushangai sana... CCM haikushinda uchaguzi mkuu 2010, hili liko wazi na hali hitaji darubini kuona au kipaza sauti kusikia ILA kwakuwa umeamua kufumba macho huku ukijisaidia bus stand! we endelea...RIP JKN
 
Ahsante Francis kwa Uamuzi wa busara. Umechagua kilicho chema, cjui wengine mnangoja nini. Wakati ni huu, ucje kumbuka shuka wakati kumeshakucha.
 
Yericko Nyerere vipi mkuu,mbona umemjibu MLENGO WA KATI KWA JAZIBA SANA,YEYE AMETAKA KUJUA JOSEPH NYERERE NI NANI KATIKA HISTORIA YA NCH HII MPAKA WATOTO WAKE WAPEWE COVERAGE KIHIVYO,UKITUKANA SIO KWAMBA UTAKUWA UMEELEWAKA BALI UTAKUWa umekimbia swali kuwa wao ni nani? au JOSEPH NA JULIUS NYERERE NI SAWA,OK FINE HATA KAMA NI MTU NA MDOGO WAKE LAKINI YEYE JOSEPH HANA HISTORIA NA WALA HAJAIFANYIA LOLOTE NCHI HII MPAKA WATOTO WAKE WAWE "NTA"
 
If having members of Nyerere's family in their party is everything Chadema supporters are looking for, then they've definitely won the battle. But if they're aware that it's credible policies, rather than big names, that give life to a political party, they'd perhaps find that there's no point in rejoicing over the arrival of this latest guest to join their ranks. Sure, they may succeed in persuading the whole family to become their part, but the crucial question remains what the impact is these people might have on the wellbeing of the party.
You have said it well. Thanks.
 
Anayepinga kuwa si family ya Nyerere ni Mshamba, ukoo ukisimika jina linaweza kukaa hata miaka mia tatu. Ni kama familia ya Bush, Kikwete, Mnauye, Mbowe. Hata hivyo mjukuu anaweza kupewa jina kama hilo hata wakiwa watano katika familia moja, mambo ya ya kutafuta nani ni nani nenda Ocean Road ukachukue vipimo vya DNA.
 
Open rebuke is better than secret love, najua wapo wengi wanaunga mkono nguvu ya umma ili ishike dola.Karibu kamanda!
 
mkuu huenda wapo hawatangazwi tu, ila tukiri tu kuwa Urais wa Nyerere miaka yote 23 haujawa na ushirika, haujawa wa familia na haukuwa na urafiki kwa mtu yeyote....
(naomba nijue, nani mwenye picha ya mtoto wa mkapa? kiukweli sijui kama mkapa ana mtoto.)

Mku mimi nawajua watoto wawili wa Ben lakini hawajihusishi na mambo ya siasa. Wapo wapo tu wanapata mivinyo kwa time yao
 
Kama uliiona landrover 109 inakwenda spidi kubwa sana katika mitaa ya Dar,ilikuwa ni mimi,Andrew Nyerere.

Andrew Nyerere,

Wewe jamaa kiboko ulikuwa unatusumbua na Landrover yako aisee!

Umetupora sana warembo wetu wewe jamaa.

Wahindi wa Kisutu walikuwa wanakuogopa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mzee wa Kwembe Kati, uitaja tuu jina la Nyerere, kwa wengi wetu tunahesabu ni familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hivyo ukisema familia ya Nyerere bila ku specify, ref ya wengi wetu watadhani ni familia ya Mwalimu kumbe ni ya Jose!.

Please be specific isije kuwa kama ile ya binti za Wasira!.

NB. Familia ndio ngazi ya kwanza ya jamii na inahusisha baba, mama na watoto wao tuu!, na ikiwa ni extended familiy itawahusisha wale ndugu waliolelewa ndani ya mji wa Mwalimu tuu, not more, not less!.

Kaka na dada wa Mwalimu, sio wanafamila wa Mwalimu bali ni wanaukoo wa Mwalimu!. Naomba tutenganishe kati ya wanafamilia, wanaukoo, ndungu jamaa na marafiki!. Hakuna mwanafamilia wa Mwalimu aliyeko Chadema!.
Pasco.

just read between the lines, everything is clear! Proplem is your understanding level.
 
Kwa hiyo mnamaanisha kuwa yeyote anayeitwa Nyerere ni ukoo wa Baba wa Taifa? Jenga hoja achana na siasa za majina wewe.
 
Back
Top Bottom