Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Picha: Mwingine familia ya Nyerere ajiunga CHADEMA

Sasa unang'ang'ania ndugu wa nyerere wasiondoke kwenye chama kilicho acha falisafa ya ujamaa na kujitegemea baadae wakaelekea mlengo wa kibepali,na some time hawafahamu hata ni mlengo gani wanaufuata.ukoo wa mwalimu umesha shituka hawako tayari kumzalilisha babao
 
Watoto wa Nyerere wanajulikana hii tabia ya ktumia majina ya wa tu kwa umaarufu haifai,Esther na Lilian Wasra nao walijifanya kama watoto wa Wasra kumbe ni geresha,sasa Mzee Joseph Nyerere nae ni nani katika nchi hii hadi mtoto wake apewe coverage kisa kujiunga na Chadema! Au mnatumia Jina la Nyerere kujifanya kama ni watoto wa Mwl Nyerere!

Si usha ambiwa kuwa ni mtoto wa Joseph sasa hii yako ya kujifanya ni mtoto wa mwalimu linakujaje? Kwani mwenzetu watoto wa baba yako mkubwa au mdogo hamtumii sir name hoja? Au nao unadhani wanataka waonekane ni watoto wa baba yako?
 
Labda kuna watu hawakwenda kupiga kura kwa kuogopa fujo za Chadema. Lakini sijafuatilia hiyo stori ya watu kutojitokeza kupiga kura.
Mkuu sidhani kama kichwani uko sawa, kuna kitu kinaitwa fear of the unknown maCCM wengi mnasumbuliwa na hili lakni independent thinker cannot support a devilish party like CCM
 
Chadema bwana kesho utasikia hawara wa babu kapandisha bendera nyumbani kwake.Sacoos zinashida sana
 
JK Nyerere alikuwa mtu wa ideas. Si uchifu ujina na ufalme.

Inasikitisha jina hili linavyotumika kama kivutio cha maonyesho ya sarakasi bila kuwekwa sambamba na uzito wa ideas.

In the absence of any other distinction,why should I care more that a common Nyerere is joining CHADEMA than say a common Maganga?
 
Mkuu sidhani kama kichwani uko sawa, kuna kitu kinaitwa fear of the unknown maCCM wengi mnasumbuliwa na hili lakni independent thinker cannot support a devilish party like CCM

Umesikia U S Congress wamepitisha sheria,a few months ago,no makosa kumwita mtu mwehu? Kwa nini Congress ambayo yenyewe imetunga sheria kuanzisha mental instituions inapitisha sheria kukataza mtu kuitwa kichaa? Kwa sababu ya mindless bahaviour ya watu kama ninyi,unabishana na ntu kidogo,unamwita kichaa.
 
kaka msamehe bure labda kakufananisha na mdogo wako geogre nakumbuka ndio alikuwa mkorofi.
Yeye na swaiba wake kamlima wa gitaa

Sina ndugu anaitwa George. Kwa nini unaongea kuhusu mambo usiyoyafahamu?
 
Uwezo wake wakifedha haufami hata Punje kwa Ridhiwani....
Chezea LiCcm wewe...!!!!
 
Mimi,pamoja na Watanzania wengi bado hatujaona kwamba CCM ina matatizo,ndiyo maana bado ipo madarakani.

Teh..teh..teh..ukosefu wa ajira Tanzania imekuwa ni balaa, huenda hii komenti nayo ikawa na ka-ujira kake behind the scene.
 
Umesikia U S Congress wamepitisha sheria,a few months ago,no makosa kumwita mtu mwehu? Kwa nini Congress ambayo yenyewe imetunga sheria kuanzisha mental instituions inapitisha sheria kukataza mtu kuitwa kichaa? Kwa sababu ya mindless bahaviour ya watu kama ninyi,unabishana na ntu kidogo,unamwita kichaa.
Sidhani kama umeelewa nilichomaanisha. Fear of the unknown yaani mna hofu CCM pamoja na uchafu wake ikiondoka hali itakuwaje? Mnaona bora iendelee kuwepo tu hivyo hivyo.

Lakini mtazamo huo si wa kimaendeleo hata kidogo. Kama Marekani pamoja na maendeleo bado wanabadilisha utawala sembuse sisi. Fikiria jirani zetu Zambia, wamepata uhuru nyuma yetu kwa miaka 3 lakini sasa hivi kilichoko madarakani ni chama cha tatu baada ya UNIP na UMD. Kimsingi anayepinga mageuzi ya utawala kwa Tanzania haitakii mema nchi yetu
 
Labda kuna watu hawakwenda kupiga kura kwa kuogopa fujo za Chadema. Lakini sijafuatilia hiyo stori ya watu kutojitokeza kupiga kura.

Nimejaribu sana kufuatilia michango yako humu, kitu nilichogundua ni ukosefu mkubwa Wa hekima ndani yako. Ndiyo maana hufahamiki kwani inaonyesha ni mtu uliyejaa majivuno, kiburi na dharau za kitoto kabisa. Yaani Vicent amekuacha mbali sana kwa hekima na akili.

Naandika maneno haya kwa uchungu na masikitiko makubwa huku nikishibdwa kabisa kuamini kuwa wewe ni mzaliwa wa kwanza Wa Mwalimu. Shame on you brother.
 
Tutahakikisha hatuachi hata mtanzania mmoja nyuma sema mungu tusaidie.
Hilo sisemi ila nimejiunga, na kazi yangu kuhamasisha.

Lakini tusiwe tunaangushana! Tanzania hii inahitaji ukombozi!!:cheer2:
 
Watoto wa Nyerere wanajulikana hii tabia ya ktumia majina ya wa tu kwa umaarufu haifai,Esther na Lilian Wasra nao walijifanya kama watoto wa Wasra kumbe ni geresha,sasa Mzee Joseph Nyerere nae ni nani katika nchi hii hadi mtoto wake apewe coverage kisa kujiunga na Chadema! Au mnatumia Jina la Nyerere kujifanya kama ni watoto wa Mwl Nyerere!

Kama mtu anatumia jina la Kiongozi kuleta maendeleo, si tatizo. Mbona kuna mmoja anatumia jina la Moses Nauye (Late) ingawa alishawahi kukanwa kuwa siyo mmoja wa falimia hiyo ?
 
Back
Top Bottom