Kumbe huwa nakuungisha hapo eeeh,kweli sirikali hii aaaahUnishauri nini wakati natakiwa kuhama kupisha Ujenzi ukiwa unatoka kwenye geti la kutokea kuna sehemu wanachoma bisi kmaeneo hayo
Kumbe huwa nakuungisha hapo eeeh,kweli sirikali hii aaaah
nILIDHANI PAMEPIGWA BOMU!!!!! haya maendeleo hAYO ndio maana nasema hizi biashara zetu hizi.....
Kwa nini iwe stend ya UDA nac daladala zote au wanataka ku-monopolize biashara
Stendi ya UDA
Kwa nini iwe stend ya UDA nac daladala zote au wanataka ku-monopolize biashara
vijana wote walikuwa wanafanya biashara hapo sijui wameenda wapi jamani? duh
isije ikawa ndio wale mapanya buku sijui....?
duh umeonaeeee!!! hatareee
Vichwa vya habari utadhani magazeti ya udaku.Kichwa kingine hbr nyingine.
Sasa hivi. Nimekuja mbio baada ya kusikia pameuzwa tayari kwa Kisena
Naomba picha za makumbusha waliopo maeneo hayo
nitaenda kuzipiga leo nikuletee unatka nilete wapi mkuu?